Bendera ya Tanzania...inauzwa wapi?

Za mafundi Cherehani ni fake...nataka kitu original
...mkuu neno original na fake ni subject to definition, yaani inategemea tafsiri ya mtumiaji, hata hizo nyingine wanakata vitambaa same same material na ya mafundi wa mtaani, labda nikuulize unajua bendera za serikali zinatengenezwa wapi.? do your homework...
 
Tanzania kwanza vyama baadae...ila later nitahitaji bendera ya CUF, je nitaipata wapi?
...ukija hitaji ya cuf pita bungoni, kuna mafundi watakuunganishia mabaki ya vitambaa..teh
 
Nami natafuta hii bendera Wakuu, zinapatikana wapi?
 
Dollar zimeadimika, mafuta yameadimika, sasa na bendera nazo hakuna. Jamani, hivi Tanzania kuna nini kinaparikana kwa urahisi sasa?
 
Hawauzi tu kama njugu..hutopata..fuata wale waliokuambia ukashone kwa fundi cherehani na ukikamatwa nayo kesi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…