Neno Kido lipo kwenye kamusi gani Tanganyika au litakuja kwenye katiba mpya?Mkuu hii lugha itumie kujibia mitihani tu sio kuongea unatupa shida kido kukuelewa, jivunie utanganyika kwa kuongea kitanganyika.
Ni ushauri tu usijenge chuki.
Neno Kido lipo kwenye kamusi gani Tanganyika au litakuja kwenye katiba mpya?Mkuu hii lugha itumie kujibia mitihani tu sio kuongea unatupa shida kido kukuelewa, jivunie utanganyika kwa kuongea kitanganyika.
Ni ushauri tu usijenge chuki.
Mkuu hii lugha itumie kujibia mitihani tu sio kuongea unatupa shida kido kukuelewa, jivunie utanganyika kwa kuongea kitanganyika.
Ni ushauri tu usijenge chuki.
Dah Mkuu hapa ndipo nimeona unaweza kumtenga mtu nchi yetu haina utaifa ina maneno kama uliyoyatumia ya utengano hapo ndomana tunarudi nyuma Wanadamu tunajisahau sana mungu aliumba rangi tofauti na lugha tofauti na mabara tofauti ila kwa uwezo wake na mitihani yake tulikuja kuchanganyika tu na kufika kila nchi wengine hawakutegemea watafika waliotengeneza mipaka ndio wamefanya leo binadamu ajithamini kwa rangi na wapi katoka sio nani kamuumba na amjali mwenzake vipi, tunalotakiwa tusitizame katika hiyo mikoa kwa kujisifu wengine tumetoka kati ya hizo ulizotaja ila tukumbuke sehemu ambazo watu wanaumia na njaa vipi kumsaidia mwenzako hayo mambo ndio yanarudisha wengi nyuma na wengine kuuwana.Mkuu wacha kabisa! Mutu ya Mbeya, Arusha, Kilimanjaro, Kigoma na Mwanza haidanganyiki kabisaaaaaaaaaa. Hiyo mutu inajua inachokifanya na inachapa kazi kwa kwenda mbele. Wanawagawa Mbeya ili kuvunja umoja wao. Hawataweza.
Mkuu na wewe hii itumike kuongea na watoto tu, siye wakubwa hatukuelewi.
Teeh teeh teeh teeh teeeh....! Dah yaani JF kweli ina vichwa, unaweza kulog in bila kufunga zipu ukashangaa wadau wanakuchana kuwa zipu iko wazi ndio utashangaa teeh teeh teeeeh