Bendera ya Tanganyika yatumika kuishangilia taifa stars Mbeya

Bendera ya Tanganyika yatumika kuishangilia taifa stars Mbeya

Mulangila Mukuru

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2010
Posts
1,945
Reaction score
729
Katika kuonyesha kuitaka Tanganyika Mashabiki wa timu ya taifa mkoa wa Mbeya jana walitumia bendera ya Tanganyika kuishangilia Taifa stars katika mechi yake dhidi ya Malawi.
Hii nimeipenda

BACK TO TANGANYIKA
 
nimeipenda pia
lakini so sana kama ninavyoipenda tanganyika
 
Hebu tupia na picha basi angalau nisuuze roho yangu!

MTANGANYIKA DAIMA!
 
Nawapenda watu wa Mbeya kwani si wadanganyika, wameenda shule. Hata asiyesoma ana ufahamu wa mambo ya maana. Sio kama wale wa kuleeee ......
 
Nawapenda watu wa Mbeya kwani si wadanganyika, wameenda shule. Hata asiyesoma ana ufahamu wa mambo ya maana. Sio kama wale wa kuleeee ......

kuna washenzi eti wanataka kuugawa mkoa wa mbeya wakati siyo matakwa ya wanambeya.
eti kusogeza huduma, kwani tangu 1961 huduma zilikuwa karibu?
 
Katika kuonyesha kuitaka Tanganyika Mashabiki wa timu ya taifa mkoa wa Mbeya jana walitumia bendera ya Tanganyika kuishangilia Taifa stars katika mechi yake dhidi ya Malawi.
Hii nimeipenda

BACK TO TANGANYIKA

Mimi nilidhani macho yangu yalikosea kuangalia rangi ya Bendera iliyotumika kuishangilia Taifa stars. Kumbe kweli ilikuwa TANGANYIKA.
 
Katika kuonyesha kuitaka Tanganyika Mashabiki wa timu ya taifa mkoa wa Mbeya jana walitumia bendera ya Tanganyika kuishangilia Taifa stars katika mechi yake dhidi ya Malawi.
Hii nimeipenda

BACK TO TANGANYIKA


politics in sports?😕
 
kuna washenzi eti wanataka kuugawa mkoa wa mbeya wakati siyo matakwa ya wanambeya.
eti kusogeza huduma, kwani tangu 1961 huduma zilikuwa karibu?

Hawa jamaa niwashenzi sio kidogo, wakiambiwa Tanganyika irudi wanasema gharama, sasa kila siku wanagawa na kuongeza idadi ya wilaya na Mikowa, hivi hii sio kuongeza gharama?

1. Ujenzi makao ya mkuu wa mkowa/wilaya

2. Wafanyakazi wanaongezeka kama vile wakurgenzi nk

3. Magari, mashine na vitendea kazi

4. Ulinzi na usalama

5. Ofisi na ajira kwa
Elim-mkowa/wilaya
Afya-mkowa/wilaya
Miundombinu nk

Wameshazalisha mikowa na wilaya kibao ambako gharama zake ni endelevu kutoka mifuko yetu, hapa hawaioni gharama ila serikali Tatu si maajabu ya karne kweli hayo???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom