Baraghash
JF-Expert Member
- Dec 18, 2012
- 2,713
- 1,789
Bendera yetu ua Taifa ni lielelezo ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kama ilivyoeleza Article of the Union" Nchi mbili hizi huru zote zina bendera zao kabla ya Muungano
zanzibar
Kumekuja na tabia mbovu ya mmoja wa wqashirika wa Muungano kuanza kuitumia Bendera ya Muungano vibaya kiasi cha kuleta kero kwenye Muungano bila ya Sababu. Hii dhana ya kufikiria Tanganyika kuvaa koti la Muungano kila pahali sio sahihi. Tanganyika wala Zanzibar sio Tanzania lakini ni washirika waliounda Tanzania.
Kwa Tanganyika kuacha bendera yake na kutumia bendera ya Tanzania katika shughuli ambayo si ya Tanzania ni kosa kisheria. Serengeti Bpys kubeba Bendera ya Tanzani wakati inaiwakilisha Tanganyika au Riadha wakat michezo sio jambo katika orodha ya mambo ya muungano.
Kwa kufanya hivyo, kwa mfano, Serengeti Boys inapoitwa Kichwa cha mwendawazimu inakuwa inawahusidh Zanzibar ambao tusi hilo haliwahusu.
Kwa kuiheshimu ' Articles of the Union" na kujiepusha na kuunda kero mpya kila mtu abebe msalaba wake katika mashindano yote yawe ya mpira Baiskeli, Riadha, bao aukuogelea iwe ni marufuku kutumia Bendera ya Muungano.
Unite Kingdom ni muungano wa nchi England, Scotland, Wales and Northern Ireland na hata siku moja wakati wa mambo yanayoihusu moja wa po hawatumii bendera ya Union Jack. Kila mmoja hutumia Bendera ya nchi yake iliokuwepo kabla ya Muungano.
Tanganyika iwe wastaarabu na uzalendo na kuwa na ya fahari kutumia bendera yao wakati wa Mashindano. Tusitiane aibu. kilamtu aibebe aibu na heshima yake mwenyewe.

Attachments
-
upload_2017-5-22_13-21-41.png154 bytes · Views: 56
-
upload_2017-5-22_13-21-59.png154 bytes · Views: 46
-
upload_2017-5-22_13-41-0.png1.8 KB · Views: 65
-
upload_2017-5-22_13-41-57.png1.1 KB · Views: 50
-
upload_2017-5-22_13-42-43.png716 bytes · Views: 32
-
upload_2017-5-22_13-43-11.png488 bytes · Views: 41