Bendera ya chadema yazua kizaa zaa

Bendera ya chadema yazua kizaa zaa

njundelekajo

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
310
Reaction score
227
Huko mkoani iringa wilaya ya mufindi kata ya malangali taharuki kubwa ilizuka baada ya wananchi pamoja na baadhi ya viongozi wa chama cha mapinduzi kushuhudia bendera ya kwanza ya chama cha upinzani tangu nchi ipate uhuru,bendera hiyo inasemekana iliwekwa usiku na vijana wa maeneo hayo
 
change has come,receive it,believe it,its your time to accept and hold the outcome.
 
Wanashangaa nini sasa!!kwani hiyo malangali wamejimilikisha ccm?waache mambo yao bwana.
 
Kisogo kinapowekewa macho mwendo ni mgumu sana. Yaani hadi leo hii pamoja na TV kusambaa vijijini Bendera ya Chadema haijulikani Malangali kweli!!!!!
 
..........ungeendelea kuandika kidogo kaka!
 
Back
Top Bottom