Bendela ya nchi shingoni na matusi juu

Bendela ya nchi shingoni na matusi juu

Joined
Jan 11, 2014
Posts
5
Reaction score
0
mwigulu nchemba anapenda kufunga muda wote bendela ya nchi yetu shingoni mwake, wakati huohuo anatukana hovyo wanasiasa wenzake ama matusi ya nguoni au ya mtaani. Hii inawakilisha nini? kwamba taifa letu ni la watukanaji sana au ni ishara kwamba tukihitaji kutukana lazima tuwe tinavaa brndela ya taifa, au tuamini kwamba matusi atukanayo akiwa na bendela ya nchi anakuwa anawakilisha ujumbe rasmi wa serilali?
 
Akitukana Nchemba au ccm ni tusi lakini likitolewa hata kubwa zaidi toka chama chako siyo tusi ila ni nguvu ya umma
 
Na kwa kuwa kapandishwa cheo na kuwa Waziri, inawakilisha kuwa Serekali yake ni ya Kimatusi. Huwezi pata tunda zuri kwenye mti mwovu.
Aliyemchagua anajua kisa cha kumchagua mtukanaji stadi.
 
MWIGULU.jpg

Duh! huyu ndio waziri wetu
 
Back
Top Bottom