by de way yasemekana alipigwa risasi ya shingoni ndipo jamaa naye akalipua bomu...mimi now najiuliza..hivi hizi bullet [rppf nazo wanazo vaa wakuu ni za kuzuia risasi za kifuanina mgongoni tuu?wataalam zaidi naomba mnisaidie kuhusu hilo
Bullet proof vest haisaidii wala haimzuii mtu kukuua kwa sababu hiyo unaivaa kifuani tu na mwili si kifua peke yake. Kuna miguu, kichwa, shingo, mikono, tumbo, kiuno, n.k. Labda waje na bullet proof suit kama zile za wanaanga (astronauts) zinazokava mwili mzima kuanzia kichwa hadi miguu
Fuata thread inavyokwenda na sio kurukia posti yangu.
Mr.Zero
Poor Woman!!! Hawa wajahidina AlQaeda Mungu awalaani milele na milele!!!!!
Mr.Zero
Huu ni mpango wa Al Qaeda tu!! Jamaa hawawezi kukubali kuona mwanamke anatawala!!!
Yournameismine
NBC today with Matt Lauer, like father like daughter....Benazir assassinated!!!!. Ilikuwa ni matter of time, tusubiri huo moto wake.......wamarekani wanalaumu Gen. Musharaf!
Bin Maryam
Kweli ni utamaduni mbaya tuendelee tu na CCM yetu
A terrible day for democracy in Pakistan. May God rest her soul in eternal peace~AMEN.
Sisi sote tutakufa. Wengine watakufa kitandani, wengine kwenye ajali, wengine kwenye uwanja wa mapambano. Kabla yake waliuawa kina Gandhi, Luther, Malcom, Walter Rodney n.k Watu wenye madaraka wanaposukumwa sana hatimaye wanasukuma na wenyewe! Wale wote walioingia katika mapambano ya kuwatetea wananchi wao hasa katika nchi ambazo zinamatishio ya risasi wanajua kabisa kuwa kati ya gharama wanazoweza kulipa ni ile ya maisha yao. Tatizo ni kuwa baada ya ujuzi huo kukita ndani ya mioyo yao wanakubali hiyo fate na hawawezi kukoma na kurudi nyuma wakisalimu amri!
Unapofikia hatua hii ya utambuzi wa gharama hii kubwa unayoweza kuilipa unakuwa umefikia pake Martin Luther King Jr aliita "I have been to the mountain top, and I have seen the Promised Land". Ukifika kwenye kilele hicho cha mlima na kuiona nchi hiyo ya ahadi huwezi kurudi chini!
Bi. Benazir aliamini kuwa Taifa lake linastahili vilivyobora zaidi na linaweza kuwa Taifa bora zaidi. Alipinga matumizi ya nguvu katika siasa na alijaribu kujenga hoja za kisiasa. Hata hivyo katika ulimwengu huu ambapo matakwa ya kisiasa hulazimishwa kwa nguvu wakati mwingine, wabaya wake waliamua alipe gharama ya maisha yake, na kwa kweli amelipa.
Kwa wale wengine ambao tulikuwa tunamwanagalia mama Bhutto kama a symbol of defiance leo hii mioyo yetu inawaka zaidi na dhamira zetu zimeamshwa zaidi kwani uchaguzi tulio na ni mwepesi; kusalimu amri au kurudi nyuma, kusonga mbele au kujibanza kwa woga; kuendelea kupiga kelele au kunyamaza kimya! Bi. Bhutto ametuonesha njia iliyo na nguvu zaidi kuwa kuna wakati lazima tuwe tayari kuweka mguu chini na kusema hawatatusukuma nyuma tena!
Mapambano haya basi siyo ya watu waoga! Kama hujakaa na kutafakari uwezekano wa kutolewa mhanga kwa ajili ya nchi yako na watu wako hustahili kupambana!
but niliwahi kusikia zina nguvu ya kuvuta risasi kama sumaku ivutavyo chuma ili risasi ielekee kwenye bullet proof otherwise si ingekua haina maana maana ya nini mtu aangaike kupiga kifuani apoteze risasi yake ya ghali wakati anaona kichwa??
ndio maana nikataka wataalam wanaoweza jua zaidi kuhusiana na hizi bullet proof watuelezeee zaidi
Wrong,
1) Pakistan has never had any meaningful democracy since independence
2) This didn't have to happen. Yes Bhutto was a courageous but EXCEPTIONALLY foolish woman. Far too much disregard for her safety but more importantly, the safety of her followers.
3) Proof that even having an OXFORD degree does not mean one is intelligent or smart as one might think....do you know how they used to call he when she was there?
Sisi sote tutakufa. Wengine watakufa kitandani, wengine kwenye ajali, wengine kwenye uwanja wa mapambano. Kabla yake waliuawa kina Gandhi, Luther, Malcom, Walter Rodney n.k Watu wenye madaraka wanaposukumwa sana hatimaye wanasukuma na wenyewe! Wale wote walioingia katika mapambano ya kuwatetea wananchi wao hasa katika nchi ambazo zinamatishio ya risasi wanajua kabisa kuwa kati ya gharama wanazoweza kulipa ni ile ya maisha yao. Tatizo ni kuwa baada ya ujuzi huo kukita ndani ya mioyo yao wanakubali hiyo fate na hawawezi kukoma na kurudi nyuma wakisalimu amri!
Unapofikia hatua hii ya utambuzi wa gharama hii kubwa unayoweza kuilipa unakuwa umefikia pake Martin Luther King Jr aliita "I have been to the mountain top, and I have seen the Promised Land". Ukifika kwenye kilele hicho cha mlima na kuiona nchi hiyo ya ahadi huwezi kurudi chini!
Bi. Benazir aliamini kuwa Taifa lake linastahili vilivyobora zaidi na linaweza kuwa Taifa bora zaidi. Alipinga matumizi ya nguvu katika siasa na alijaribu kujenga hoja za kisiasa. Hata hivyo katika ulimwengu huu ambapo matakwa ya kisiasa hulazimishwa kwa nguvu wakati mwingine, wabaya wake waliamua alipe gharama ya maisha yake, na kwa kweli amelipa.
Kwa wale wengine ambao tulikuwa tunamwanagalia mama Bhutto kama a symbol of defiance leo hii mioyo yetu inawaka zaidi na dhamira zetu zimeamshwa zaidi kwani uchaguzi tulio na ni mwepesi; kusalimu amri au kurudi nyuma, kusonga mbele au kujibanza kwa woga; kuendelea kupiga kelele au kunyamaza kimya! Bi. Bhutto ametuonesha njia iliyo na nguvu zaidi kuwa kuna wakati lazima tuwe tayari kuweka mguu chini na kusema hawatatusukuma nyuma tena!
Mapambano haya basi siyo ya watu waoga! Kama hujakaa na kutafakari uwezekano wa kutolewa mhanga kwa ajili ya nchi yako na watu wako hustahili kupambana!
Mwanakijiji
Once the see you the Mafisadi's gonna bullet you like Bhuto before you ballot them away. Wear your fear proof because even the Balali's gonna die eventually.
May Allah rest her soul in peace.
Asha
Nimeifuata vizuri tu na kuelewa kila kitu, implication yako kwamba tusipokuwa na CCM basi tutegemee tutakuwa kama pakistani ndio yenye tatizo. Ndio maana nakuambia usiihusishe CCM na hili jambo hata kidogo, Watanzania sio wajinga huwezi kuipa CCM umaarufu kwa utumia hili jambo la huko kwingine.
Utulivu wa Tanzania ni wawatanzania na si wawaccm.
Mwanakijiji
Once the see you the Mafisadi's gonna bullet you like Bhuto before you ballot them away. Wear your fear proof because even the Balali's gonna die eventually.
May Allah rest her soul in peace.
Asha
MwanaKijiji:
Nakuomba soma posti iliyoandikwa na mtoto wa Kaka yake kuhusu Bi. Bhutto. Huyu mama na yeye alikuwa na maadui wengi.
http://www.latimes.com/news/opinion/la-oe-bhutto14nov14,0,2482408.story?coll=la-opinion-center
And I am suspicious of her talk of ensuring peace. My father was a member of Parliament and a vocal critic of his sister's politics. He was killed outside our home in 1996 in a carefully planned police assassination while she was prime minister. There were 70 to 100 policemen at the scene, all the streetlights had been shut off and the roads were cordoned off. Six men were killed with my father. They were shot at point-blank range, suffered multiple bullet wounds and were left to bleed on the streets.
My father was Benazir's younger brother. To this day, her role in his assassination has never been adequately answered, although the tribunal convened after his death under the leadership of three respected judges concluded that it could not have taken place without approval from a "much higher" political authority.
Game,
Does fear of death translate to smartness?!
SteveD.
Sidhani Tanzania tunakwenda huko wangewaondoa kina Mrema na Mtikila kwanza.. sisi wengine ni vidagaa tu..