jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,053
- 28,245
Ndio maana Magufuli anatakiwa kuendelea kuwanyooshaKwa kweli taifa lina hasara kubwa sana hili.
Ndio maana Magufuli anatakiwa kuendelea kuwanyooshaKwa kweli taifa lina hasara kubwa sana hili.
Sasa sijui wanataka nini.aisee yani ukizungumaza utaambiwa unawashwawashwa ukinyamaza utaambiwa unamkwamisha mzee
Membe kwanza ana shida ya Uongozi wala Kisasi na Mtu yeyote! Yupo ajamjibu Mtu yeyote na wala ayupo Tanzania ma wala Ayupo Na Bifu na CCMWadau Memb wa 2020 hayupo nchini, je yupo nje kwenye mazishi ya baba yake Bush au kaenda nje kukutana na wanadiplomasia wenzake?
Hahaha aisee hii ni hatariAnajiandaa na kampeniView attachment 956354
Ukikaa kimya watu wanakuwa hawakuelewi elewi