Ben Saanane na watu wake kumfanyia tafrija ya kuzaliwa Malisa ilhali Mhere Mwita yu taaban ni mzaha

magufuli alikunyoosha na propaganda zako chafu alipokabidhiwa chama akairudisha yote management kama ilivyo kwisha habar yako na ile mi thread uliyokuwa ukiishusha kuwachafua ccm wenzio walio ktk nyadhifa za chama wewe kwenye madaraka unaweza kutoa roho ya mtu dunia mapito usihadaike na ulimwengu ukasahau kutenda mema
 
Pole sana Mkuu. Kwa kawaida ninajua nini ninafanya. Wewe endelea na yako
 
Maisha lazima yaendelee... Unataka watu wakashinde moi ndio uone wanajali!?!?
 
Picha bila maelezo haijitoshelezi. Tungependa kujua nani ni nani katika hizo picha kama si siri
 
Duh! hawa jamaa ni bure kabisa, yaani wanapiga selfie na mgonjwa hospitalini? very sad indeed!
Unashangaa hapo? Watu tulipiga selfie kule US wakati wa tezi dume itakuwa hapo MOI?
 
Unashangaa hapo? Watu tulipiga selfie kule US wakati wa tezi dume itakuwa hapo MOI?
Si vema kuendelea kuiga ujinga. By the way kama mgonjwa mwenyewe kaamua sawa. Ila kama hayupo concious itakuwa jambo la ajabu sana
 
Kwa hili nakuteua kumsaidia Mama Salha kazi,utakua makamu wake
 
aiseee hawa makamanda wana laana... lakini swala la ukatili hawa makamanda wana uzoefu kabisa
 
Sasa nimeng'amua kumbe Ben anawapa kiwewe genge la malaika wa kuzimu.
Mmesahau kama kiongozi wenu anahudhulia sherehe kadhaa na tafrija akati Bukoba bado wanaomboleza kupigwa na tetemeko lililoacha maafa na uharibifu mkubwa.
Malaika wa kizazi hiki mmekuwa mamchekbob sana mnamuangusha kiongozi wenu anayewategemea mumnusuru huku kwenye mitandao.

 
aiseee hawa makamanda wana laana... lakini swala la ukatili hawa makamanda wana uzoefu kabisa
Kinachoshangaza ni kwamba hawatoi maelezo ya ajali hiyo. Ilitokea vipi na wahusika ni akina nani. Tunachoona ni Mhere Mwita kuumia na wao kufanya tafrija
 
Ka hiyo akina Ben Saanane wameamua kuiga jambo hilo? By the way naomba ututhibitishie sherehe ambazo Rais wetu amehudhuria wakati wa tetemeko la Bukoba
 
nikiziona hizo sura nakumbuka story ya zitto tyre za gari yake kulegezwa nut
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…