MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,244
- 7,970
Kama kuna vitu ambavyo vinanifanya kila siku niwaze na kuniumiza kichwa kwa kuwaza na kutoa machozi ni kupotea kwa Ben Saanane, nikiwa kama kijana na kaka au rafiki wa bwanamdogo huyu naamini kua kupotea kwake kuna mkono wa mtu. Amepotelea mazingira ya kutatanisha, chain ya taarifa za kumtafuta mpaka akapatina zinaanzia kwenye mawasiliano yake ya simu ya mkononi, wapo wanadamu wanaofahamu Ben alipo,Mungu anafahamu Ben alipo.
Itoshe kusema hivi huyu bwanamdogo awe hai au mfu, ni lazima Mungu huyu aliyelikuza tone la damu yake kisha akapulizia pumzi Ben akazaliwa pamoja na aliyempoteza iko siko siku ulimwengu utashuhudia aibu itakayompata.
Ninatamani sana siku moja niwe kiongozi wa taifa hili ili niunde tume itakayosheheni wataalamu wa aina mbali mbali kujua huyu kijana alipotelea wapi? Ni kwanini alipotea?
Kama Ben amepotea kwa sababu amekua mkosoaji wa upande flani, na je, waliompoteza ni wale wasiopenda kukosolewa?basi Ben hana hatia na hata dhambi yeyote mbele ya muunba wake. Kuna faida kubwa sana ya kufahamu kua Beni amepotelea mlango wa nyumbani kwake ili umma wetu siku moja utambue kua kaika taifa letu kuna "viumbe" wenye roho zaidi ya binadam.
Mzee Focus Saanane pamoja na umaskini wake alilea kijana, akamsomesha na kufikia kiwango cha juu kabisa cha Elimu alitamani sana siku moja kufurahia kufaidi matunda ya mwanae.Haiwezekani mtu mmoja ambaye baada ya maka isiyofikia 50 ijayo atafukiwa aridhini amfanye mzee huyu akose usingizi kwa sababu ya Ben kwa sababu za matamanio ya kidunia.
Kwa uchungu mkubwa kabisa nimalize kusema hivi, Ipo siku roho ya Benard Rabiu Fucus Saanane popote ilipo itazungumza kwa mshindo mkubwa.Aliyeshiriki matendo ya kupotea kwa Ben iko siku isiyojulikana atateseka sana nje na ndani ya mgongo wa ardhi hii.