Ben Pol ni King wa R&B hapa bongo

Ben Pol ni King wa R&B hapa bongo

NAKEMBETWA

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2012
Posts
3,517
Reaction score
3,138
kiukweli ukiniuliza msanii bora wa r&b basi huyu jamaa anafaanya vizuri sana, Tokea wimbo wa nikikupata, maneno maneno, waubani.. kama haujapata kusikiliza wimbo wake mpya wa Unanichora basi utafute ni mkali usipime..
 
jipigie promo mkuu inasaidie sana pale unaposahaulika
 
kiukweli ukiniuliza msanii bora wa r&b basi huyu jamaa anafaanya vizuri sana, Tokea wimbo wa nikikupata, maneno maneno, waubani.. kama haujapata kusikiliza wimbo wake mpya wa Unanichora basi utafute ni mkali usipime..
mbona unanchora ni mda tuu imetoka.. Kwa MIMI ukiniuliza msanii mkaree wa RnB jibu ni RAMA DEE TU!
 
My best Tz rn'b singer
1-Rama dee(sio waoaji,najua,sarah,mak up nk)
2-Jux (napata raha,sipati karaha,uzuri wako,nitasubiri)
3-Belle9 (sumu ya penzi,masogange,listen)
 
mbona unanchora ni mda tuu imetoka.. Kwa MIMI ukiniuliza msanii mkaree wa RnB jibu ni RAMA DEE TU!

umemaliza mkuu.rama dee ni noma japo team ruge wamefanikiwa kwa kiasi fulani kuzima nyota yake.ruge hatari,ukienda kinyume tu na policy yake anakupoteza kisanii.hutaki unaacha.
 
'hata siachi mkuu na-take it from you kiongozi'
 
Back
Top Bottom