Ben Pol adai hali ya uchumi kwa wasanii ni tete, asitisha kuachia albamu

mr mkiki

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
5,583
11,659
Muimbaji huyo ambaye anafanya vizuri na wimbo ‘Moyo Mashine’ ameiambia Bongo5 kuwa hali hiyo imewafanya wasanii wengi akiwemo yeye kushindwa kutimiza malengo yao ndani ya mwaka huu.

“Plan zimebadilika sana mwaka huu na plan zimebadilika kwa sababu nyingi kwanza mfumo mzima wa biashara umebadilika sio kama miaka iliyopita,” alisema Ben Pol. “Yaani hiki ni kitu ambao wasanii wenzangu watakubaliana na mimi, mzunguko wa pesa na kazi umeshuka kidogo ukilinganisha na miaka mingine. Kwahiyo unaweza ukawa na matarajio yako au mipango ukashindwa kutumiza au ikawa tofauti,”

Aliongeza, “Mapromota wengi wamefilisika hasahasa wale wa mikoani, wengi hawawezi tena kuandaa show wenyewe, wakiomba sponsorship zinasuasua, yaani hela hamna, kwa hiyo wanachokifanya sasa hivi ni kuwa partners na wasanii ili kuandaa show,”

Muimbaji huyo amesitisha kuachia albamu yake mpya ambayo alitangaza kuiachia mwishoni mwa mwaka huu.

CxTbfXhXAAARCZL.jpg
 
View attachment 434589
Analalamika nn wakati wanamuziki walikua wanaimba kwenye jukwaa la kijani wkt wa kampe chagua magufulika
 
Muimbaji huyo ambaye anafanya vizuri na wimbo ‘Moyo Mashine’ ameiambia Bongo5 kuwa hali hiyo imewafanya wasanii wengi akiwemo yeye kushindwa kutimiza malengo yao ndani ya mwaka huu.

“Plan zimebadilika sana mwaka huu na plan zimebadilika kwa sababu nyingi kwanza mfumo mzima wa biashara umebadilika sio kama miaka iliyopita,” alisema Ben Pol. “Yaani hiki ni kitu ambao wasanii wenzangu watakubaliana na mimi, mzunguko wa pesa na kazi umeshuka kidogo ukilinganisha na miaka mingine. Kwahiyo unaweza ukawa na matarajio yako au mipango ukashindwa kutumiza au ikawa tofauti,”

Aliongeza, “Mapromota wengi wamefilisika hasahasa wale wa mikoani, wengi hawawezi tena kuandaa show wenyewe, wakiomba sponsorship zinasuasua, yaani hela hamna, kwa hiyo wanachokifanya sasa hivi ni kuwa partners na wasanii ili kuandaa show,”

Muimbaji huyo amesitisha kuachia albamu yake mpya ambayo alitangaza kuiachia mwishoni mwa mwaka huu.

View attachment 434589

Walikisaidia sana Chama kongwe kwenye kampeni 2015, wajipange waende Lumumba kuna kasma ya Takrima!
 
Watu Mko Addicted Na Siasa.Mnachomeka Siasa Kwenye Kila Kitu.Kwa Taarifa Yako Show Za CCM ziliwalipa Vizuri Wasanii Kuliko Fiesta, Ben Pol Kazurura Fiesta Mikoa Kibao Hata Wiki 2 Hazijaisha Kaanza Kulialia
 
yani na kuzunguka kwote mikoani kwenye fiesta bado una lalamika....kweli kuna kitu behind the scene
 
Watu Mko Addicted Na Siasa.Mnachomeka Siasa Kwenye Kila Kitu.Kwa Taarifa Yako Show Za CCM ziliwalipa Vizuri Wasanii Kuliko Fiesta, Ben Pol Kazurura Fiesta Mikoa Kibao Hata Wiki 2 Hazijaisha Kaanza Kulialia
Umemjibu vizuri sana,akili watu zimelala,kila kitu Siasa
Wengine hata uchumi kimuziki hawajui nini ilamradi na wao wamechangia.
Wangejiuliza Kwanini 50 Cent hali ilikuwa tata na wasanii wengine wa Kimarekani.

Wagonjwa wa Siasa ndio akili muflis
 
Na hasikwambie mtu,wale unaowaona wanafanya shoo sasahivi wanazinunua hizo shoo.
 
Watu Mko Addicted Na Siasa.Mnachomeka Siasa Kwenye Kila Kitu.Kwa Taarifa Yako Show Za CCM ziliwalipa Vizuri Wasanii Kuliko Fiesta, Ben Pol Kazurura Fiesta Mikoa Kibao Hata Wiki 2 Hazijaisha Kaanza Kulialia
Ukweli mchungu
 
Uchumi umeporoka nani anunue cd wakati nyumbani si shwari???

Wasanii isomeni namba mlizunguka nchi nzima kuwalaghai masikini waingize ccm.

Laana iwe juu yenu
 
We ndio inaonyesha hujui hata kinachoendelea.....biashara ya CD ilishakufa tangu miaka kumi iliyopita.
 
Back
Top Bottom