Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,059
Ben Paul ali loose cool baada ya mwandishi kumuuliza kuhusu habari za mpenzi wake na mtoto wake ila Ben Paul hakutaka kuyazungumzia na kutaka aulizwe kuhusu mambo ya kazi zake za music, mwandishi huyo aliendelea kumkazia ndipo jamaa akacharuka na kuanza kugombana nae.
Ben Paul nae hataki kiki kama za Diamond?? Maana ndio vinavyowaongezea umaarufu kubadilisha mademu maarufu, kutupia picha za familia na habari za familia instagram