Ben Mwanantala haiwezekani ukahoji watu wote wakapongeza kubomolewa kwa jengo la TANESCO

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,415
74,072
Jana katika taarifa ya habari ya saa mbili, uliwahoji watu kuhusu kubomolewa jengo la Tanesco Dar. Wote walipongeza kubomolewa! Ni kweli wote uliowahoji walipongeza libomolewe. Hakuna aliyetoa maoni tofauti? Mbona tunaona maoni tofauti mitaani na "wengi" wakipinga ubomoaji? Wakitafuta namna ya kulikwepesha lakini barabara zijengwe! We wa kwako uliwatoa wapi?
 

Hahaha mkuu, asingeweza kurusha maoni ya watu wanaopingana na magufuri maana ataonekana mchochezi
Watu wasiojulikana hawajawahi mwacha MTU salama mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…