Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,933
- Thread starter
- #21
Wenyewe wanapaita "ndanda kipande cha ulaya" kilichodondokea afrika
Huu ni ulimwengu wa himaya ya kikanisa ambayo wamisionari walikuwa wajerumani. Kama ilivyokuwa wakoloni wa kijerumani hawakuwa na wivu kujenga makoloni yao kama hadi leo tunavyofaidi reli ya kati toka Dar -M orogoro - Kilosa - Dodoma - Itigi - Tabora -Shinyanga - Mwanza, Kaliua-Kigoma; Dar hadi Arusha, nyingine iliyong'olewa huko kusini machingani ni kumbukumbu ya koloni la wajerumani Afrika Mashariki.
Wamisionari nao hawakuwa na wivu wa kufanya waishipo kama ulaya vile kama tuonavyo Ndanda, Peramiho, Zakarani (Tanga) Dar, na kisha kuanzisha shirika tawi la waafrika tupu ambao ni Hanga abbey iitwayo African Benediction of Hanga.
Hiyo ni Abatia ya Peramiho Songea
Peramiho hospital