Kyenju
JF-Expert Member
- Jun 16, 2012
- 5,290
- 2,822
Mimi ni mkristo na mfuasi mkubwa wa vitabu vya Carrison ila kwa kauli yake hiyo nimechoma vitabu vyake vyote... Ameniudhi sana !
Mkuu, kwa hasira nunua na vingine uchome ili umkomoe.
Mimi ni mkristo na mfuasi mkubwa wa vitabu vya Carrison ila kwa kauli yake hiyo nimechoma vitabu vyake vyote... Ameniudhi sana !
Kiukweli kazingua.. labda kaanza kuzeeka
Tanzania ni kubwa ... mfano, tangu utotoni kule kwetu Tanga mjini niliwaona, na cha ajabu walikuwa wanakubalika tu ktk jamii... Usenge kwetu Haramu na sio maumbile yetu hata siku moja.
It will take ages for the US to be under the control of a Muslim, but truth be told, Carson's words are not presidential at all levels.
Kuweka kumbukumbu sawa ni kwamba huyo mama aliyekataa kutoa certificate alijihuzuru mara moja hakung'ang'ania ofisi,
La pili hapo kwa Mkuu wa Wilaya Tz haiwezi kuleta mkanganyiko kwa sababu sheria ya Ndoa inatambua yule mke wa kwanza