Ben Carson CPAC Speech: Gay People 'Don't Get Extra Rights'

2013

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2011
Posts
11,361
Reaction score
6,080

Conservative Ben Carson let loose on gay marriage during his Saturday CPAC speech, reinforcing his belief in traditional practices.

"As you know, I am not a fan of political correctness," Carson told onlookers, drawing cheers. "I still believe that marriage is between a man and a woman."

Carson went on to add that the political world is full of "ideologues" and the only people that can stop them are the American people. While he believes gay people are entitled to their rights, Carson drew the line at "extra rights" that alter the institution of marriage.

"Of course gay people should have the same rights as everyone else, but they don't get extra rights," Carson said. "They don't get to redefine marriage."

Back in April 2013, Carson stepped down as commencement speaker for Johns Hopkins University's School of Medicine after making some gay marriage comments that sparked outrage from students and faculty.

"It's a well-established, fundamental pillar of society, and no group, be they gays, be they NAMBLA, be they people who believe in bestiality -- it doesn't matter what they are -- they don't get to change the definition," he said in a Fox News appearance at the time.

Source: huffingtonpost

[url]http://www.huffingtonpost.com/2014/03/08/ben-carson-cpac-speech_n_4899410.html?ncid=txt
lnkusaolp00000592[/URL]
 
Last edited by a moderator:
Huyu jamaa si tu kwamba ni genius lakini ana hofu ya MUNGU ndani yake.
 
sure jamaa anayo hofu ya mungu.
 
Huyu jamaa si tu kwamba ni genius lakini ana hofu ya MUNGU ndani yake.

Ketendo cha kutambua haki za "watenda" maovu, menisikitisha sana, alikuwa role model wangu... kwani ni kupitia vitabu vyake viwili vya Gifted Hand na THINK BIG...niliweza kubadilika kuwa TUJITEGEMEE wa sasa. Ila toka mwaka 2013 alipotamka maneno ya 'uovu' simpe tena umuhimu tena kama role model wangu.
 
unafuta mema yote uliyoyapata kwa kosa moja alilofanya? mungu hakufanya hivyo na hafanyi hivyo.still dr ben anaonyesha yuko na imani kuwa marriage is between Adam and Eve not adam and steve he is your role model let him be forever.if you welcome and let go keep your door open all the times
 
"Of course gay people should have the same rights as everyone else, but they don't get extra rights," Carson said. "They don't get to redefine marriage." ...................."I still believe that marriage is between a man and a woman." Dr CarsonI am just curious mkuu TUJITEGEMEE katika hali ya kutaka kuelewa zaidi.... Anavyosema wana haki kama watu wengine inaelewekaje? na ni haki gani ambayo wengine wazipata wao hawakupaswa kuzipata? Kwa maana kama ni issue ya ndoa ameshachora clear cut kwamba ni kati ya mwanaume na mwanamke.. vinginevyo sio ndoa kwa kuwa hatafuti usahihi wa kisisasa kama akina obama na clinton?

Ketendo cha kutambua haki za "watenda" maovu, menisikitisha sana, alikuwa role model wangu... kwani ni kupitia vitabu vyake viwili vya Gifted Hand na THINK BIG...niliweza kubadilika kuwa TUJITEGEMEE wa sasa. Ila toka mwaka 2013 alipotamka maneno ya 'uovu' simpe tena umuhimu tena kama role model wangu.
 
Last edited by a moderator:
Ketendo cha kutambua haki za "watenda" maovu, menisikitisha sana, alikuwa role model wangu... kwani ni kupitia vitabu vyake viwili vya Gifted Hand na THINK BIG...niliweza kubadilika kuwa TUJITEGEMEE wa sasa. Ila toka mwaka 2013 alipotamka maneno ya 'uovu' simpe tena umuhimu tena kama role model wangu.

mkuu nahisi hujamuelewa vyema but he is against same sex marriage!
 
Ubarikiwe Dr. Benjamin Carson kwa misimamo yako. Abarikiwe Mama yako Sonya Carson!
 
Ketendo cha kutambua haki za "watenda" maovu, menisikitisha sana, alikuwa role model wangu... kwani ni kupitia vitabu vyake viwili vya Gifted Hand na THINK BIG...niliweza kubadilika kuwa TUJITEGEMEE wa sasa. Ila toka mwaka 2013 alipotamka maneno ya 'uovu' simpe tena umuhimu tena kama role model wangu.

We jamaa nina wasi wasi na uelewa wako! Gay wana haki ya kula, kusoma, kuvaa kama wewe lakini marriage daima haifai kuwa ya jinsia moja! Hiki ndo alimaanisha Carson! Nampenda sana Carson

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
"Of course gay people should have the same rights as everyone else, but they don't get extra rights," Carson said. "They don't get to redefine marriage." ...................."I still believe that marriage is between a man and a woman." Dr CarsonI am just curious mkuu TUJITEGEMEE katika hali ya kutaka kuelewa zaidi.... Anavyosema wana haki kama watu wengine inaelewekaje? na ni haki gani ambayo wengine wazipata wao hawakupaswa kuzipata? Kwa maana kama ni issue ya ndoa ameshachora clear cut kwamba ni kati ya mwanaume na mwanamke.. vinginevyo sio ndoa kwa kuwa hatafuti usahihi wa kisisasa kama akina obama na clinton?

Hapo hapo,"....Anavyosema wana haki kama watu wengine, "They don't get to redefine marriage." inaelewekaje?" Hii peke yake inaonyesha kuwa wanayo haki ya kufanya wanachokifanya....ilimradi tu wasirasimishe hicho wanachokifanya kiasi cha kubadilisha katiba, sheria ama hata taratibu za kidini. Nilitegemea lugha kali ya kiimani itolewayo na watu wenye kuheshimu maagizo ya Mungu, kukemea kile wanachokifanya hao-watibuaji (ukizingatia yeye-Ben ni msabato)....badala ya kutoa lugha laini (wana haki kama watu wengine) ....hii ni kutambua uwepo wao kuwa ni halali machoni mwa wanadamu na mbele za Mungu. Na hili halikubaliki. Na siwezi kukubaliana na Ben.
 
We jamaa nina wasi wasi na uelewa wako! Gay wana haki ya kula, kusoma, kuvaa kama wewe lakini marriage daima haifai kuwa ya jinsia moja! Hiki ndo alimaanisha Carson! Nampenda sana Carson

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
mkuu nahisi hujamuelewa vyema but he is against same sex marriage!

Soma post na. 10
 
Nakubaliana na wewe Mkuu.

Naona pia kuna tofauti ya haki na uhalali wa kufanya kitu. Mtu anaweza kuwa na haki (kwa macho ya wanadamu) kufanya kitu fulani kama atakavyo bila kuvunja sheria (za kibinadamu pia) ila akakosa uhalali wa kibinadamu vile vile. Achilia mbali hiko kitu mbele ya Mungu kikoje (PURITY).... Having the RIGHT to do something doesnt qualify your deeds to be right before Men and before God standards. God has given us freedom to choose, however our choices should come into HIS judgement and every one is going to be rewarded accordingly (whether someone believed He there or not (Of course He there, If he isn't, What does this name God represent?)

Nafikiri hapo aliongea kisiasa (pleasing men) ambayo ukiileta kwenye upande wa pili hio ina shida. Lakini unafikiri ni haki zipi hizo ambazo hao jamaa hawana kwenye hoja yako ya msingi?

Hapo hapo,"....Anavyosema wana haki kama watu wengine, "They don't get to redefine marriage." inaelewekaje?" Hii peke yake inaonyesha kuwa wanayo haki ya kufanya wanachokifanya....ilimradi tu wasirasimishe hicho wanachokifanya kiasi cha kubadilisha katiba, sheria ama hata taratibu za kidini. Nilitegemea lugha kali ya kiimani itolewayo na watu wenye kuheshimu maagizo ya Mungu, kukemea kile wanachokifanya hao-watibuaji (ukizingatia yeye-Ben ni msabato)....badala ya kutoa lugha laini (wana haki kama watu wengine) ....hii ni kutambua uwepo wao kuwa ni halali machoni mwa wanadamu na mbele za Mungu. Na hili halikubaliki. Na siwezi kukubaliana na Ben.
 
Nadhani watu hawajaelewa vizuri. Gay people wana haki za kijamii na si kuwa na haki zote kama watu wengine they should have a limit to some issues. Coz ukiangalia kisiasa unaweza kuelewa tofauti. Lakini ukija katika upande wa pili kila nchi ina katika yake kuhusu hawa watu. But before God haki hiyo wanayoitaka hawana.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom