Blatter na Platini wanafikiri eti wanamkomoa Pele, kumbe wanaharibu kandanda.
Kwa mimi tuzo hii ya 2011 angepata mtaalam Xavi, na mwaka 2010 angalau Sneijder angekuwemo kwenye tatu bora kama si kuchukua tuzo kabisa.
Sasa haihitaji kuwa mtabiri kujua kuwa tuzo ya 2012 anatafutwa mtu wa kujaza nafasi ya tatu kwani Messi na Ronaldo wanajaza hizo zao mbili za 1 na 2...