Applicant JF-Expert Member Joined Feb 12, 2020 Posts 1,962 Reaction score 1,757 Mar 31, 2020 #1 Huyu jamaa anajua sana, naamini anatakiwa awe mbali zaidi ya hapa alipo, ni moja ya waimbai wa Rhythm and Blues (RnB) wakali sana. Tafuta management inayojielewa, watu kama wakina jux ni wa kawaida sana kwa huyu mwamba, ila sijui jamaa anakwama wapi. Anaimba sana Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa anajua sana, naamini anatakiwa awe mbali zaidi ya hapa alipo, ni moja ya waimbai wa Rhythm and Blues (RnB) wakali sana. Tafuta management inayojielewa, watu kama wakina jux ni wa kawaida sana kwa huyu mwamba, ila sijui jamaa anakwama wapi. Anaimba sana Sent using Jamii Forums mobile app
Darmian JF-Expert Member Joined Oct 1, 2017 Posts 17,313 Reaction score 46,847 Mar 31, 2020 #2 Umefanana naye na Maria hizi ngoma zake mpya nazielewa sana Hii ni pure talent
Applicant JF-Expert Member Joined Feb 12, 2020 Posts 1,962 Reaction score 1,757 Mar 31, 2020 Thread starter #3 Darmian said: Umefanana naye na Maria hizi ngoma zake mpya nazielewa sana Hii ni pure talent Click to expand... Hiyo maria sijawahi kuisikia Sent using Jamii Forums mobile app
Darmian said: Umefanana naye na Maria hizi ngoma zake mpya nazielewa sana Hii ni pure talent Click to expand... Hiyo maria sijawahi kuisikia Sent using Jamii Forums mobile app
Offshore Seamen JF-Expert Member Joined Mar 9, 2018 Posts 6,061 Reaction score 15,642 Mar 31, 2020 #4 Mwambie amuombe Abdu Chuma,amsimamie tena kama meneja wake.
Applicant JF-Expert Member Joined Feb 12, 2020 Posts 1,962 Reaction score 1,757 Mar 31, 2020 Thread starter #5 Offshore Seamen said: Mwambie amuombe Abdu Chuma,amsimamie tena kama meneja wake. Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Offshore Seamen said: Mwambie amuombe Abdu Chuma,amsimamie tena kama meneja wake. Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Offshore Seamen JF-Expert Member Joined Mar 9, 2018 Posts 6,061 Reaction score 15,642 Mar 31, 2020 #6 Chuma ndio alikuwa meneja wake kipindi anatoka na jamaa alikuwa anamsimamia kama mdogo wake. Jamaa hakuwa anataka chochote zaidi ya kumsimamia kama mpenzi wa mziki wake.
Chuma ndio alikuwa meneja wake kipindi anatoka na jamaa alikuwa anamsimamia kama mdogo wake. Jamaa hakuwa anataka chochote zaidi ya kumsimamia kama mpenzi wa mziki wake.
MANDEVUMENGI JF-Expert Member Joined May 15, 2018 Posts 1,356 Reaction score 3,627 Apr 1, 2020 #7 Jamaa anajua nadhan tatzo ni nyota tu yake haing'ari Umefanana nae bonge la wimbo goma kama hili angeimba domo aisee ingekuwa balaa sema ndo hvyo nyota tu Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa anajua nadhan tatzo ni nyota tu yake haing'ari Umefanana nae bonge la wimbo goma kama hili angeimba domo aisee ingekuwa balaa sema ndo hvyo nyota tu Sent using Jamii Forums mobile app
joseph1989 JF-Expert Member Joined May 4, 2014 Posts 19,468 Reaction score 41,655 Apr 1, 2020 #8 Management na connection ndizo zinamfelisha,ila kujua anajua sana.
Kukaja Kununu JF-Expert Member Joined Mar 27, 2017 Posts 1,077 Reaction score 1,212 Apr 2, 2020 #9 Hivi mmepata wasaa wa kuisikiliza maria