mkuuUna tatizo..
Haiwezekani beki 3 watano wote ndani ya 1 year
mkuu
nilikuwa nampiga mkewangu ku change dada kila baada ya mwaka ila nilikuja muunga mkono kipindi flani..mpaka leo nilimpa salute...
dada hatakiwi kukaa zaidi ya mwaka au hata miezi 6..akishaanza zoea mazingira ni usumbufu na ataleta matatizo..so hapewi upenyo ..ata awe mzuri vipi..msome sana...akikaa sana miaka miwil tena huyo unajua ni mstaarabu ametulia kwel kwel...kuna mmoja tulikaa nae mwaka...akaanza zoeana na vijana wa mtaani..tukisepa wanakuja kufanya yao..dogo anaona kumbe..nikaja kuitwa na mkewangu shule mwanangu anabambia watoto wa kike tukawa kama tunapewa onyo tusifanye mchezo mbele ya mtoto...
sasa mimi na wife tuliumiza sana kichwa maana most time dogo analala na dada yake akilala na sisi mara chache labda sikuiyo umekuta mie nimechelewa kurud ameshinda jion na mama yake wanalala..na mimi nikimkuta kalala wala sinaga mambo y kusema nikampeleke kwa beki tatu..afu mipepe mi na wife tunakula na ratiba moja moja ambazo dogo hayupo home....
mimi ni mpenda ligi sana nipo hivyo .nikamwambia mamaa huyu dada atakuwa anaangalia pilau kwa simu maana dogo anachezea sana masimu ikikaa kizembe..nitafanya research..ila am sure sisi sio tatizo..akaniachia zoezii..bwana weee...nikanza research mtoto akitoka shule mchana ule muda namim natoroka mzigoni chap narud gafla home napiga mahesabu mtoto anakuwa karud kalala au anacheza (saa tisa mpaka saa 11) ndo mida ya kupiga ambush maana watever happens ndo mida hii mpaka dogo anaona..asubuhi ngumu ..nilikuja kukuta beki tatu anskunjwa sitting room afu mwanangu wamempa simu wamemuweka chumbani...
nilifunga mlango waliruka ao..nikaulizs mtoto yupo wap..wakasema room..nikamuita..(nijue dogo atakuja au atasema baba nifungulie)..dogo akaja ..ase...nikamwambia dada ulishindwa mpeleka mtoto kwa jirani wakacheze na wenzie au ukampa dada wa jirani akae nae umalize upuuzi wako unafanya ndani mwanangu akiwepo na anaona upuuzi wenu anaenda wafanyia wenzie..nikamwagiza mpeleke mtot kwa jiran arudi niongee nao wote..yule kijana akabaki...alienda alivorudi..daah...long story short kwanza niliwekwa ndani siku ile nikatolewa asubuhi...yule kijana alilazwa week ...yule dada ndugu zake walimsafirisha ndugu yao na mguu una POP...majirani waliita polisi niwekwe ndani maana usiku ule waliniambia kiroho safi upumzike tu ulale humu hasira zikipungua asubuhi unarejea kwako..ila kwa hali hii tumeitwa ata tukikuachia ukalale kwa ndug yako au lodge unaweza kurudia yule mtu..wakanilaza selo ya wanawake maana ilikuwa haina watu wakanipa na mto ase...😂...
Shida sister alikua anashindwa ku copy na wadada au wadada ndio walishibdwa ku copy na sister
Umenikumbusha nina wifi yangu hawezag kukaa na dada wa kazi yaan dada hata akisuka akapendeza hatak anasema atamuibia mume afumue nywele[emoji23] huwa nacheka. Mume mwenyewe bila hata ya hizo nywele anawakula sana wadada sana yaan.Shida ndio hiyo kwakuwa wamewaajiri wanataka mpaka wawapangie maisha binafsi.
Na wengine hawa the so called maboss wanaroho mbaya kiasi kwamba hawawezi kuishi na dada wa kazi.
Mtu hata ndizi kwenye friji hutak dada achukue unategemea nini.?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa mkuu wewe acha tu kuna nyumba ukienda unakuta dada wa kazi hana amani kabisa na uhuru hata wa kunywa soda iliyo ndani.Umenikumbusha nina wifi yangu hawezag kukaa na dada wa kazi yaan dada hata akisuka akapendeza hatak anasema atamuibia mume afumue nywele[emoji23] huwa nacheka. Mume mwenyewe bila hata ya hizo nywele anawakula sana wadada sana yaan.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umemtoa wapi huyu beki tatu
Iringa au Kibaigwa??
Na wanagegedwa na akina nani??..
Kumbuka pia wazazi wake wanakua wamekupa dhamana...anakua sehemu ya familia yakoKazi nyingine shida sana. Kma akigegedwa shida iko wapi???
Yaan k yake kugegedwa mumpangie...
Sent using Jamii Forums mobile app
Na Ni sisi ndo tumefanya wakate tamaa...coz wakiwa na miaka 10-14 tumewabaka,watoto wetu wakiume wakawabaka,achilia mbali mateso ya wake zetuHafanyi kazi nyumbani kazi kushinda kwenye mageto ya machinga, wauza nyama, bodaboda, wasajili line, dereva bajaji, wakatia ngombe majani kutwa nzima, unategemea nini?
House-girls wengi wako kama vile wameshajikatia tamaa na wanaona liwalo na liwe tu!
mkuu
nilikuwa nampiga mkewangu ku change dada kila baada ya mwaka ila nilikuja muunga mkono kipindi flani..mpaka leo nilimpa salute...
dada hatakiwi kukaa zaidi ya mwaka au hata miezi 6..akishaanza zoea mazingira ni usumbufu na ataleta matatizo..so hapewi upenyo ..ata awe mzuri vipi..msome sana...akikaa sana miaka miwil tena huyo unajua ni mstaarabu ametulia kwel kwel...kuna mmoja tulikaa nae mwaka...akaanza zoeana na vijana wa mtaani..tukisepa wanakuja kufanya yao..dogo anaona kumbe..nikaja kuitwa na mkewangu shule mwanangu anabambia watoto wa kike tukawa kama tunapewa onyo tusifanye mchezo mbele ya mtoto...
sasa mimi na wife tuliumiza sana kichwa maana most time dogo analala na dada yake akilala na sisi mara chache labda sikuiyo umekuta mie nimechelewa kurud ameshinda jion na mama yake wanalala..na mimi nikimkuta kalala wala sinaga mambo y kusema nikampeleke kwa beki tatu..afu mipepe mi na wife tunakula na ratiba moja moja ambazo dogo hayupo home....
mimi ni mpenda ligi sana nipo hivyo .nikamwambia mamaa huyu dada atakuwa anaangalia pilau kwa simu maana dogo anachezea sana masimu ikikaa kizembe..nitafanya research..ila am sure sisi sio tatizo..akaniachia zoezii..bwana weee...nikanza research mtoto akitoka shule mchana ule muda namim natoroka mzigoni chap narud gafla home napiga mahesabu mtoto anakuwa karud kalala au anacheza (saa tisa mpaka saa 11) ndo mida ya kupiga ambush maana watever happens ndo mida hii mpaka dogo anaona..asubuhi ngumu ..nilikuja kukuta beki tatu anskunjwa sitting room afu mwanangu wamempa simu wamemuweka chumbani...
nilifunga mlango waliruka ao..nikaulizs mtoto yupo wap..wakasema room..nikamuita..(nijue dogo atakuja au atasema baba nifungulie)..dogo akaja ..ase...nikamwambia dada ulishindwa mpeleka mtoto kwa jirani wakacheze na wenzie au ukampa dada wa jirani akae nae umalize upuuzi wako unafanya ndani mwanangu akiwepo na anaona upuuzi wenu anaenda wafanyia wenzie..nikamwagiza mpeleke mtot kwa jiran arudi niongee nao wote..yule kijana akabaki...alienda alivorudi..daah...long story short kwanza niliwekwa ndani siku ile nikatolewa asubuhi...yule kijana alilazwa week ...yule dada ndugu zake walimsafirisha ndugu yao na mguu una POP...majirani waliita polisi niwekwe ndani maana usiku ule waliniambia kiroho safi upumzike tu ulale humu hasira zikipungua asubuhi unarejea kwako..ila kwa hali hii tumeitwa ata tukikuachia ukalale kwa ndug yako au lodge unaweza kurudia yule mtu..wakanilaza selo ya wanawake maana ilikuwa haina watu wakanipa na mto ase...[emoji23]...
Hilo nalo nenoHouse girls wanakulia kwenye nyumba zetu,wanaume tunaongoza kuwa abuse sexually tangu wakiwa wadogo,wake zetu wanawaaminisha kuwa wao Ni watu daraja la pili,huyo mtu unadhani atakua sawa kichwani
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpe haki mtu na kitu yake jamani, k ni yake hahahahahaha just kidding. Pole kwa changamotoNilipata beki tatu mpya baada ya wa mwazoni kuondoka
Kusema kweli mabeki tatu Ni changamoto huu mwaka nimekuwa na mabeki tatu wanne huyu Ni wa tano.
Wengine niliwatoa maana walikuwa wanagegedwa kuliko hata mimi.watoto wadogo ila wanapenda chini sana .sikupenda mabinti wadogo watoto wa watu waharibike maana Mimi Nina experience ya wanaume sitamani kabisa kuona binti mdogo anawekeza kwenye k.haina faida kabisa.japo sikomi natafuta mchumba mzee bado
Jana nilimuambia Dada tunda la dogo la siku Ni parachichi.kumbe alimchemshia leo dogo anaendesha tu maskini .
Watoto wetu Hawa Mungu awalinde tu maana tunawaaçha lazima tuhangaike
Kuna siku nilikuta dogo anapewa chakula kina chumvi balaa kakabwa anameza tu maskini .nilivoonja nililia yaani
Nilikuwa naponda sana watu wanaopeleka watoto wadogo boarding school ila majumbani changamoto Ni nyingi mno.
Sent using Jamii Forums mobile app
Maswali mujarabaa nakaziaUmemtoa wapi huyu beki tatu
Iringa au Kibaigwa??
Na wanagegedwa na akina nani??..