Umesema vyema linguistics, kudos kwako.Wengi wanakuwa bado mabinti wadogo bro..
Kutiwa iwe kwa staha basi na pia sio iwe routine Kama mke wa mtu
Akitiwa mimba anatelekezwa bila msaada wowote, hapo ukute ni mimba na ukimwi.. Acha hizo basi think wider
Sasa mstaafu unataka kuajiriwa tena? Kwa nini ulistaafu?
Habari ya siku miss,msalimie sana mtoto...Nilipata beki tatu mpya baada ya wa mwazoni kuondoka
Kusema kweli mabeki tatu Ni changamoto huu mwaka nimekuwa na mabeki tatu wanne huyu Ni wa tano.
Wengine niliwatoa maana walikuwa wanagegedwa kuliko hata mimi.watoto wadogo ila wanapenda chini sana .sikupenda mabinti wadogo watoto wa watu waharibike maana Mimi Nina experience ya wanaume sitamani kabisa kuona binti mdogo anawekeza kwenye k.haina faida kabisa.japo sikomi natafuta mchumba mzee bado
Jana nilimuambia Dada tunda la dogo la siku Ni parachichi.kumbe alimchemshia leo dogo anaendesha tu maskini .
Watoto wetu Hawa Mungu awalinde tu maana tunawaaçha lazima tuhangaike
Kuna siku nilikuta dogo anapewa chakula kina chumvi balaa kakabwa anameza tu maskini .nilivoonja nililia yaani
Nilikuwa naponda sana watu wanaopeleka watoto wadogo boarding school ila majumbani changamoto Ni nyingi mno.
Sent using Jamii Forums mobile app
Napenda sana vitu fresh sema ndo hivo tena .Andaa chakula.cha mwanao kabla hujatoka.
Yeye kazi yaje.kumlisha tu
Heri ale kiporo cha asubuhi( chakula kilichopikwa asubuhi) kuliko vitu vya ajabu
Sent using Jamii Forums mobile app
Loh samehe bna.unataka mtu awe anti uzeeni?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usiulize makofi selo
Mimi mwaka juzi nilibadilisha 6, kuna waliokaa miezi, kuna waliokaa wiki kuna waliokaa siku chache. Na hapo tunagawana kazi na matunzo yote anapata free. Wenye watoto wadogo wanaelewa. Tena wakikupa vitoto vya kwenye poti ndio hawatakiiiUna tatizo..
Haiwezekani beki 3 watano wote ndani ya 1 year
Mimi mwaka juzi nilibadilisha 6, kuna waliokaa miezi, kuna waliokaa wiki kuna waliokaa siku chache. Na hapo tunagawana kazi na matunzo yote anapata free. Wenye watoto wadogo wanaelewa. Tena wakikupa vitoto vya kwenye poti ndio hawatakiii
Sure asilimia 100+ boarding schools siyo nzuri kwa watoto wadogo. Hata kwa wakubwa boarding bado ni changamoto. Ikiwezekana basi mtoto apelekwe boarding anapoenda form five. Walao wanakuwa wamepevuka kidogo.Nilichoka wadada na vituko vyao nkaamua kumpeleka mtoto boarding Ila yaliyomkuta mtoto sitasahau so amerudi day.....Sasa hivi natafuta mwingine maana ya boarding yalinishinda
Mdada maziwa ya mtoto anakunywa yeye
Samaki wa kumsagia mtoto yeye ndo anakula
Diet yoyote maalumu ya mtoto yeye ndo anafaidi
Na hivi mwanangu alikuwa hajui kushtaki Ndio akapata upenyo.
Ila Sasa hivi dogo hakuna kitu haelezii angalau atashtaki
Ni wivu tu unakusumbua.Pole sana. Ni Changamoto kubwa Watz hatuthamini kazi wala elimu. Ndio maana utakuta binti amepata kazi ya ndani ambayo inaweza ikamtengenezea njia ya maisha yake lkn anachukulia poa, labda kwa kuwa anaweza kuishi kwa ndugu.
Na hili jambo la kutiwa, Sijui ni kwann Ila yatakuja majitu kutetea upumbavu.
Hawa ndio wamama wa kesho mtafurahi watoto wenu au nyie wenyewe kuoa mwanamke asiyevumilia kukaa bila kutiwa?
Hawa Kama wasichana wanaokua, wanapaswa kujitunza na sio majinga yanayotaka binti awe anatoka wkend kwenda kutiwa tu just kutiwa what the hell!!!
Imagine unamruhusu binti yako uliyemzaa aende kwa wahuni wakamtieee weee basi halafu arudi pumbaavu
Yale yale!Ni wivu tu unakusumbua.
Unamwajiri vipi beki 3 under age? Ukipewa kesi ya child labor na human trafficking utailaumu Jamhuri kweli? Badilika.Binti yako wa miaka 16 utamruhusu aondoke jpili nyumbani akatiwe arudi jtatu asubuhi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Una tatizo..
Haiwezekani beki 3 watano wote ndani ya 1 year
Shida sister alikua anashindwa ku copy na wadada au wadada ndio walishibdwa ku copy na sisterwee ao wachache ivo mi sister ang mtt ake ana 1 yr tyr ashakaa na mabek 3 nane [emoji23][emoji23][emoji23]
Walikufanyia visa gani?Mimi mwaka juzi nilibadilisha 6, kuna waliokaa miezi, kuna waliokaa wiki kuna waliokaa siku chache. Na hapo tunagawana kazi na matunzo yote anapata free. Wenye watoto wadogo wanaelewa. Tena wakikupa vitoto vya kwenye poti ndio hawatakiii