Beki tatu kamchemshia mwanangu parachichi

Kazi nyingine shida sana. Kma akigegedwa shida iko wapi???
Yaan k yake kugegedwa mumpangie...

Sent using Jamii Forums mobile app
Hafanyi kazi nyumbani kazi kushinda kwenye mageto ya machinga, wauza nyama, bodaboda, wasajili line, dereva bajaji, wakatia ngombe majani kutwa nzima, unategemea nini?

House-girls wengi wako kama vile wameshajikatia tamaa na wanaona liwalo na liwe tu!
 
Aisee mkuu poleee sana....kama nakuona vile ile hasira uliyokua nayo muda huo
Wacha kabisa ilibidi nimtafute binti ndani ya famila ya wife aje kulea kwa gharama kubwa ili apate ada ya kwenda chuo, mtoto alipofikisha mwaka nikampeleka shule ya watoto.
Sasa hivi wamekuwa hatuhitaji mtoto wa kazi tukitoka kazini na wao shuleni kila mtu anapiga kazi, wanafua nguo zao, kuosha vyombo, mimi usafi mama anapika tumeshazoea mausha hayo.
 
Hio ni privacy ya mtu tatizo lenu wabongo mnapenda sana kuingilia maidha binafsi ya watu sasa kama mtu anafanya kazi zake vizuri na mlikubaliana weekend au jpili ni siku yake ya kupumzika akienda kuti..wa wewe kinachokuuma ni nin? Wewe ukiwa unati...w.aa boss wako wa ofsini anakufatilia? Acheni watu waishi maisha yao personal wao wanavyoona ni sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida ndio hiyo kwakuwa wamewaajiri wanataka mpaka wawapangie maisha binafsi.
Na wengine hawa the so called maboss wanaroho mbaya kiasi kwamba hawawezi kuishi na dada wa kazi.
Mtu hata ndizi kwenye friji hutak dada achukue unategemea nini.?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binti yako wa miaka 16 utamruhusu aondoke jpili nyumbani akatiwe arudi jtatu asubuhi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kazi nyingine shida sana. Kma akigegedwa shida iko wapi???
Yaan k yake kugegedwa mumpangie...

Sent using Jamii Forums mobile app
Wengi wanakuwa ni wadogo bado. Hivyo ni kama wanahujumiwa kingono na wanao wagegeda. Na kimaadili/kimalezi kwenye familia yako hawataleta taswira nzuri.

Pia wadada wa kazi wakishaanza kugegedwa hovyo wanakuwa na viburi hivyo kazi uliyowaleta wafanye wanakuwa hawafanyi kwa ufasahaa. Wanakuwa pia na visirani hadi kwa watoto hawawalei inavyotakiwa.

Kuna mmoja kwangu alikuwa anawapa watoto uji mbichi tena usiokuwa na sukari. Kisha mtoto akilala anamfungia ndani anajiondokea anaenda nyumba ya jirani kugegedwa (kipindi hicho bado naishi quarters). Mtoto akiamka ni kulia mpaka dada atakapomaliza mambo yake huko.

Usiwatetee sana hao mabinti wa kazi labda kama huna uzoefu nao, japo kuna incidences ambapo pia baadhi ya wamama wenye nyumba wanajiregeza mno na kuwanyanyasa au kuwaachia hao wadada wa kazi majukumu mazito wasiyoyastahimili.
 
Wengi wanakuwa bado mabinti wadogo bro..

Kutiwa iwe kwa staha basi na pia sio iwe routine Kama mke wa mtu

Akitiwa mimba anatelekezwa bila msaada wowote, hapo ukute ni mimba na ukimwi.. Acha hizo basi think wider
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…