Sijui ni mimi tu au kuna wengine kama mimi, siwezi hata siku moja kumtamani housegirl hata kama nina ukame au tamaa kuna wangapi huko nje ?,wanaume wa hivyo ni aina ya wabakaji wanafahamu kwakuwa binti anashida watamlazimisha tu.

Hizo story za kubuni bana.. zatupotezea muda tu. Ni baba mwenye nyumba gani anaweza kuambiwa huo ujinga? We sema unamtaka ww unaangalia pa kuanzia, ptuuuuu