Being alone is superpower

Being alone is superpower

Mtu aliyechagua kuwa pekee hata akijichanganya na kuchangamana na wachanganyikao bado atakuwa asiyechanganyika,, still be alone and 1 only,, katikati ya waliochanganyika
alafu ni hali tu ambayo inatokea hata ujaribu vipi kuchangamana vinagoma unaona kama hau fit in
 
Hizi lugha zitawaharubu kwa kuwafariji vijana, kesho mtakuja na usemi mwingine kwamba "loneliness killers the heart "
 
Back
Top Bottom