Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,903
- 1,053
Leo bei ya petroli sh 2000 badala ya 1750 tuliyokuwa nayo kwa miezi 9 iliyopita. Sitoi hata lift kwa mtu mie. Watembee kwa miguu kwenda kazini au wajazane kwenye public transport. Hakuna anayenichangia mafuta au service za gari. Kudandia tu ndio kwingi na kura wanatoa kwa mafisadi. Watakoma!