doctordrew
Member
- Apr 26, 2020
- 71
- 38
Na mim naomba hiyo connection mkuu au nkupmUnao kiasi gani? Au ndo bado upo shamba unataka kujua bei tu? Kama unao unatafta pakuuzia nichek nikupe connection.
Sent using Jamii Forums mobile app
hii n behi ya jumla ama rejareja ?
unazo kg ngapi japo haya mazao nasikitika soon yanaingizwa kwenye vyama vya ushirika
Mimi bado sijaanza kuvuna, nimelima Kilwa.. huku tunachelewa kuvuna hadi mwenz tano mwishoni. Ila kuna ndugu yangu yupo Dom..ndo kanipa hiyo bei.unazo kg ngapi japo haya mazao nasikitika soon yanaingizwa kwenye vyama vya ushirika
mkuu ww unauzaje ufuta wakoUpo ufuta pia mkuranga- Pwani....connection ya soko tafadhali
Mkuu nnashida naoKwa eneo la Rufiji katika ghala mwezi uliopita ufuta ulikua unauzwa kati ya tsh1600hadi 1800 kwa kilo mwaka huu umeshuka sana kwasababu ya covid
Mimi nilishatoka mwezi uliopita, huko sehemu moja panaitwa kiwangwa ndio kulikua na huo mnadaMkuu nnashida nao
Mkuu unataarifa yoyote ya minada ya kilwa au liwale kwa mwezi huu?Mimi nilishatoka mwezi uliopita, huko sehemu moja panaitwa kiwangwa ndio kulikua na huo mnada
Na mnada ulishafanyika napesa zimelipwa labda maeneo ya lindi na mtwara unaweza ukaupata kamanda