Mimi Mwanza nimenunua mchele kg 2000 nikashangaa, maana Bei ilikua 2900 nikahisi hiyo Bei ya sokoni tu, nimeulizia Jana dukani hapa mtaani Bei hiyohiyo 2000 per kg
MI siulizagi bei napimiwa mzigo nnaotaka namuuliza jumla unanidai sh ngapi, imeisha hiyo. Mambo ya kukalkuleti mpaka bei ya nusu kibaba cha mafuta nikuikaribisha roho ya umaskini.
Tumia ikiisha mnashinda njaa, kufunga sunna sio mpaka uuone mwezi
Hata sijakuelewa unamaanisha nini au umeamua kunijia na I'D tofauti
Shida ya wa bongo mkipishana point of view kosa. Ningekuwa Nala kwa shemeji hata hii post nisingekoment coz isingenihusu, ndo kwanza Juzi hapa Nimehemea mahitaji ya nyumbani kwa bei Ile Ile ya sikuzote afu mtu analeta porojo porojo zake eti nimuunge mkono, sipo hivyo
Vitunguuu vimeanza kupanda bei na Sasa kilo 2,000-2500 / sado 7,500-8,500 soko la Mawenzi Morogoro
Mwaka Jana walolima walipata hasara, hawalima mwaka huu.