MI siulizagi bei napimiwa mzigo nnaotaka namuuliza jumla unanidai sh ngapi, imeisha hiyo. Mambo ya kukalkuleti mpaka bei ya nusu kibaba cha mafuta nikuikaribisha roho ya umaskini.
Tumia ikiisha mnashinda njaa, kufunga sunna sio mpaka uuone mwezi

Hivi tunapoongea kibaigwa alizeti lita 20 ni 45tsh. Na kaliua mchele kilo moja ni 1200 hadi 1300, kule ukanda wa mto malagarasi kigoma wao kilo moja ni 1000 hadi 1200 ,
Mtaani kwetu mchele mpya unaanzia 2000 na wa zamani ndio 2800 na kuendelea. Mimi napenda mchele wa zamani ambao ni mgumu mpya home mara nyingi unapikwa na kuwa boko
Hivi tunapoongea kibaigwa alizeti lita 20 ni 45tsh. Na kaliua mchele kilo moja ni 1200 hadi 1300, kule ukanda wa mto malagarasi kigoma wao kilo moja ni 1000 hadi 1200 ,
Wakati kama huu unanunua mpunga gunia kadhaa, maharagwe, mbaazi, mahindi unanunua ile mifuko spesho isiopitisha hewa unatunza chakula walau cha kukufikisha mwakani, unabaki unapambana na vitu vidogovidogo, wengine wanalia wewe unawachek tu