bei za viwanja mikoa mbalimbali

bei za viwanja mikoa mbalimbali

marandu2010

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2010
Posts
1,201
Reaction score
446
helo wakuu,ningependa wakuu mnipe mchanganuo wa bei za viwanja maeneo tofautofauti ya mikoa yetu,ili nijue ni kwa jinsi gani nitawekeza katika ardhi,na kuanzisha miradi mbalimbali.

nawasilisha wakuu.
 
kila mkoa na maeneo yake mfano dar tofauti kati ya chanika na kariakoo
 
Back
Top Bottom