Bei za Ving'amuzi Azamtv


we kweli tatizo,angalia agape tv,mwingira tv hazikutoshi hizo station?wacha ugala wako usio na maana.
 
waweke list ya channel sio kutangaza bei tu isije ikawa channel za kihindi tu
 
Uliyetuletea hii habari, tunaomba kujua channel zilizoko. Maana kuna tetesi kuwa ITV wamekataa kuwepo (sijui ni kweli au la)
 
...Swali la Channel Ngapi bado halijajibiwa. Msipende kuPost vitu Nusu Nusu. Upofahamishwa kuhusu Bei ulipaswa pia Kuuliza kuhusu idadi na aina ya Channels zilizomo..:A S 39:

Ni kweli hata kama angekuwa anatoa bure cha msingi ni kuangalia anatoa channel ngapi na ni channel za nini......Ngoja tusubiri kama atarudi kutupa packages za Azamtv
 
ITV na EaTv wamegoma kuweka Channel zao AzamTv, wizara isipoliangalia hili na kulikemea tutakuwa na ving'amuzi vitano kila nyumba.

Body without head
 
Yaani bongo ikifumuka vita basi ya boko haram au al shabaab cha mtoto.yaani mada tofauti watu washaingizia udini!tuna kazi kubwa huko tunapoenda.mungu tunusuru
 
sasa kwanini wasingefanya hakuna kulipia kila mwez 12500 parefu sana kwa maisha haya ya kimagamba bora continental, digtek
 
unashangaaa goli sita.....ghana 6-1 misri, man 8- ars 1, n.k....
 
Mleta uzi hebu tupe channel list ya hicho king'amuzi cha Azam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…