Nimezipenda hizi:-
Chapuchapu hairuhusiwi-Sasa ole wako uende kasi,ukimaliza ulale humo humo kwa amri ya utawara,Tiba hembu twende huku
Singer-chumba cha waimbaji,kama kina Diamond ndio wanafikia,kuna music system,Guiters,Keyboard,kazi kwenu undeground
Accounter - Hm hapa
Utawara - cha marwa
Hii bei inanitiwa wasiwasi,isijekuwa zile Guest za Buguruni,yaani unalipia rahisi halafu chumba kimoja kimegeuzwa ukumbi wa Sinema watu,mnakuwa mmetegeshewa Kamera huku upande wa pili watu wakilipia kuona Sinema kwa ubwete jinsi mnavofaidi Self Chumba