Bei za nyumba za kupanga Dar mbona kama ziko overpriced?

Lavit

JF-Expert Member
May 16, 2011
13,464
28,068
Wakuu kuna kitu nimekuwa sikielewi, hizi nyumba za kupanga bei zinapaa sana. Unakuta nyumba ipo Kibamba au Madale unaambiwa kodi 500k unabaki unashangaa.

Hivi kwa mishahara na biashara zetu hizi mbona ni ngumu kuafford hizi kodi, hizi mtu ambaye anaweza lipa 500k mpka milion anaweza kwenda kupanga Kibamba?

Naona tunakoeekea ni kama hali ya NewYork, kule watu wanalalama kwamba rent ni scam, na maghotofa memgi pale Manhattan hayana wapangaji!

Sasa mtu wa Kimara, Kibamba Madale unapata wapi ujasiri wa kupangisha nyumba kwa laki 5 mpka milion kwa mwezi?
 
Wakuu kuna kitu nimekuwa sikielewi, hizi nyumba za kupanga bei zinapaa sana. Unakuta nyumba ipo Kibamba au Madale unaambiwa kodi 500k unabaki unashangaa.

Hivi kwa mishahara na biashara zetu hizi mbona ni ngumu kuafford hizi kodi, hizi mtu ambaye anaweza lipa 500k mpka milion anaweza kwenda kupanga Kibamba?

Naona tunakoeekea ni kama hali ya NewYork, kule watu wanalalama kwamba rent ni scam, na maghotofa memgi pale Manhattan hayana wapangaji!

Sasa mtu wa kimara, kibamba madale unapata wapi ujasiri wa kupangisha nyumba kwa laki 5 mpka milion kwa mwezi?
Mikopo ya wanaojenga hizo nyumba ni mikubwa sana
 
Yani bongo bana hadi bidhaa supermarket ni ghali hata kuliko supermarket za ulaya na marekani. Yani Spain, Greece, Portugal bei ya vitu ni rahisi hasa chakula na watu wanajiweza. Lakini bongo walala hoi wengi lakini supermarket chakula ghali.
 
Mkuu kila mtu akijenga au KUNUNUA yake so itakua balaa

NB:
Nyumba is immobile tangible thing 😅😅 I mean huwezi beba nyumba yako ukaja nayo dar es salaam ukakaa nayo may be couple of months
Hahaha ni kweli ila huyu mwamba yuko Dar kitambo mishe zake miaka yake yote Dar

Anashindwaje kununua kiwanja ajenge iweje anang'ang'ana kuishi nyumba za 500k

Atajenga kweli?
 
Wakuu kuna kitu nimekuwa sikielewi, hizi nyumba za kupanga bei zinapaa sana. Unakuta nyumba ipo Kibamba au Madale unaambiwa kodi 500k unabaki unashangaa.

Hivi kwa mishahara na biashara zetu hizi mbona ni ngumu kuafford hizi kodi, hizi mtu ambaye anaweza lipa 500k mpka milion anaweza kwenda kupanga Kibamba?

Naona tunakoeekea ni kama hali ya NewYork, kule watu wanalalama kwamba rent ni scam, na maghotofa memgi pale Manhattan hayana wapangaji!

Sasa mtu wa kimara, kibamba madale unapata wapi ujasiri wa kupangisha nyumba kwa laki 5 mpka milion kwa mwezi?
Jijini
 
Back
Top Bottom