Ze showstopper
JF-Expert Member
- Jan 16, 2013
- 242
- 354
Naombeni kujua bei ya moderm za mitandao mbalimbali na ipi ina kasi nikanunue
Wakati mwingine unafanya heavy downloads overnight. Kwa hali hiyo simu utaichosha tu na kuchosha battery. Suppose una download movies/series saa 6 usiku hadi 12 asbh. Una set VUZE ikimaliza ku download izime computer, wewe unalala. Sasa simu huwezi iacha laptop iliko.Kwenye dunia ya leo bado kuna watu wananunua modem? Mi nadhani kufanya tethering kwa kutumia simu yako ya mkononi inafaa zaidi.
Hapo nimekuelewa.Wakati mwingine unafanya heavy downloads overnight. Kwa hali hiyo simu utaichosha tu na kuchosha battery. Suppose una download movies/series saa 6 usiku hadi 12 asbh. Una set VUZE ikimaliza ku download izime computer, wewe unalala. Sasa simu huwezi iacha laptop iliko.
Umeandika nini????Ufaxta n kulingana na xhm uliyopo ndg