resonanceiduufu Senior Member Joined Jul 29, 2016 Posts 112 Reaction score 62 Mar 19, 2018 #1 HABARINI NDUGU ZANGU? Napenda kujua bei za mashine imara za nywele!! Niko katika harakati za kuanzisha HAIR CUTTING SALON! Tafadhali mwenye kujua aina ipi na bei yake inafaa!!
HABARINI NDUGU ZANGU? Napenda kujua bei za mashine imara za nywele!! Niko katika harakati za kuanzisha HAIR CUTTING SALON! Tafadhali mwenye kujua aina ipi na bei yake inafaa!!