Bei za magari

Bei za magari

Jumaa gosso

Senior Member
Joined
Sep 4, 2016
Posts
188
Reaction score
127
Habari wana Jf nahitaji kujuwa bei za magari
Vs zile za wabunge bei gani
V8
Lend lover
Plado nk„„„„„„„„„
 
Lend lover na Plado hizo muulize Munawar

Maana nadhan zinatengenezwa India hizo
 
Habari wana Jf nahitaji kujuwa bei za magari
Vs zile za wabunge bei gani
V8
Lend lover
Plado nk„„„„„„„„„
V8 milion 120,na mpaka m80 zipo,afu unaposema Land rover ni kiwanda cha magari,sasa sijui unamaanisha gari aina gani,Difender? 109?freelander?Vogue?au unataka gari gani za Land Rover?
 
hapana kaka ile vX ina aic nk ulajibwake ni mkubwa sana mfano noah inaweza kwenda km13 kwa lita moja ila kwa prado labda km 4 kwa lita kaka ile machine kubwa
Hapana. Noah ni 20mk/L.NaVX normally ni 14kms/L mkuu. Nakwambia hivyo maana nimeendesha hizo gari. Pia si kweli eti ukubwa wa CC ndio ulaji wa mafuta.
 
Imenibidi nicheke tu.......maana hakuna namna.....
 
Hapana. Noah ni 20mk/L.NaVX normally ni 14kms/L mkuu. Nakwambia hivyo maana nimeendesha hizo gari. Pia si kweli eti ukubwa wa CC ndio ulaji wa mafuta.
Sio kweli Noah sr 40 ni 10km/ ltr na sr 50 ni 9 hadi 8 km/ ltr
 
Back
Top Bottom