Unafikiri yalifikaje hapo? Mwezi uliopita yalipanda kwa 150, mwezi huu 22, mwezi ujao 50, unaofata 40, mwingine 60 ,hivyo hivyo Hadi yatafika 3000Ila imepanda sh 22 tu mkuu kwenye petroli
Miaka ya tisoni mwanzoni tulikuwa tunalipa Kodi ya baiskeli shilingi 50 kwa mwaka.Itabidi turudi tu kwenye baiskeli! Labda na huko nako waamue kuirudisha tena ile kodi ya kipande ya miaka ya 90!!
Pamoja tunakutana na haya madhila Ila haifanyi bwana yule kuwa mwema. Haya majuto hayafanyi kumfikiria arudi.Acheni kulalamika mungu anawalipa unafiki wenu mlimtukana sana yule jamaa bila sababu
Hatimae akili zimewarudi sasa!Ule mwingi ulikuwa kipindi cha fungate tuu.. Sasa limeisha.. Hakika kazi iendelee.. Maa ulituingiza cha city vibaya mnooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kabisa! Nisaidie kuchungulia kwa Malisa kama kaposti makala ya kumsifia mama tafadhaliMama anaupiga mwingi kweri-kweri
Ulitaka yapande kwa 1000Ila imepanda sh 22 tu mkuu kwenye petroli
We ndo ulikuwa ukitupa matumaini. Nawewe sasa umepinduka matumaini tutayapata wapi hususani sisi akina sukuma gangUle mwingi ulikuwa kipindi cha fungate tuu.. Sasa limeisha.. Hakika kazi iendelee.. Maa ulituingiza cha city vibaya mnooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yule jamaa mwenye dharau anakwambia unaongea na dokta wa uchumi nakuhakikishia mafta hayatapanda beiππ hizi degree zetu wa tz ni za kwenye makaratasiBei ya Mafuta yazidi kuchanja Mbuga hapa Bongo, Kwa kanda ya Kazikazini Petrol ipo above 2540 tsh , Tutegeemeeni Mfumuko wa bei Kwa sababu ya gharama za Usafirisha:
Je Serikali imekosa namna ingine ya ku generate Mapato isipokuwa hii ya kuweka charges kwenye Mafuta na Miamala, this is Insane.
Ukute hizi Charges wanazo impose huku zinaenda kufujwa na Mafisadi tu, Tanzania hatuishiwi na Mauza Uza.
Yajayo yanasonononesha Sana.
πππKuna kodi ya pancha itaelekezwa huko π ni muda sasa wa raia kuamia kwenye Vespa rasmi kama Zenjiπ π