S superstar1 JF-Expert Member Joined Oct 10, 2014 Posts 222 Reaction score 176 Nov 7, 2015 #1 Habari za asubuhi jamani. Mimi naomba kujua bei za kumbi za harusi za Tabata, Sinza, Mabibo, Manzese, Buguruni. Sinza ningependa kujua being za kumbi hizi: Kuala Lumpur, Mwika, Deluxe, Mirado, Vatican city, na Lulu. Natanguliza shukrani za dhati.
Habari za asubuhi jamani. Mimi naomba kujua bei za kumbi za harusi za Tabata, Sinza, Mabibo, Manzese, Buguruni. Sinza ningependa kujua being za kumbi hizi: Kuala Lumpur, Mwika, Deluxe, Mirado, Vatican city, na Lulu. Natanguliza shukrani za dhati.