walikuyu
JF-Expert Member
- Jul 27, 2018
- 960
- 2,055
Wakuu kwema humu!
Jamani naomba niende kwenye mada moja kwa moja nipo maeneo ya mji wa zanzibar, ninatarajia kukaa siku kadhaa huku sasa changamoto inshu ya malazi ipo juu sana, natafuta chumba walau cha elfu ishirini nipate kujistiri si mnajua maisha yalivyo magumu.
Sina mengi naomba kuwasilisha.