Bei ya viwanja Dodoma yapaa

Bei ya viwanja Dodoma yapaa

Nina nyumba mjini kati barabara kumi.....siku ziende niingie ubia ghorofa...hakika ni wakati wa kucheka
 
Awamu hii viwanja vitashuka sana bei kama serikali itatekeleza maazimio yake, Lukuvi anafanya kazi nzuri sana kwenye wizara yake. Kitendo cha kuyapa nguvu makampuni binafsi kupima ardhi kitarahisisha sana upatikanaji wa ardhi kwa bei nafuu. After 2 years ardhi itakua sio ghari sana kulinganisha na awamu ya 4.
I second you!
Lukuvi anajitahidi Sana, hata hivyo mfumuko wa bei uliosababishwa ba hela za hovyo mtaani uligharimu Sana wanunuaji Viwanja....
Viwanja vitashuka bei Sana this time, hata kuwe Na pressure ya namna gani,kwakuwa pia miundombinu hayo imeboreka... Si Kama zamani
 
Wakuu heshima kwenu
Jana nilikwenda eneo moja ktk halmashauri ya dodoma mtaa wa kiterera.lengo ni kununua kipande cha ardhi kama ekari 5.

Bei niliyoikuta mwili ulininyong'onyea toka sh. laki 2.5 kwa ekari moja hadi milioni 1.5 kwa muda wa wiki moja tu iliyopita.
Kiongozi 1.5 milioni changamkia haraka !! Ila je mipango miji/maendeleo ya eneo husika iko vipi !?
 
Back
Top Bottom