NZURI PESA
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 5,958
- 2,965
Wakuu heshima kwenu
Jana nilikwenda eneo moja ktk halmashauri ya dodoma mtaa wa kiterera.lengo ni kununua kipande cha ardhi kama ekari 5.
Bei niliyoikuta mwili ulininyong'onyea toka sh. laki 2.5 kwa ekari moja hadi milioni 1.5 kwa muda wa wiki moja tu iliyopita.