Bei ya Unga Wa Sembe Ruangwa Lindi ya Paa

Phd Hewa

JF-Expert Member
Oct 3, 2016
572
466
Bei ya Unga Wa Ugali Ruangwa Mjini Leo hii Mfuko wa Kg 25 ni sh40,000 hadi sh.37,000/= Bei ya Jumla


Reja Reja ni sh.2000 hadi sh.1800 kwa kg1

Chanzo Mimi Mwenyewe.
 
Ebwaneeeee duh..! Mkuu Hoja yako ni ya Msingi Sana Ila watu Wapo Bize na Siasa Si Umeona Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha nne Yalivyofunikwa na Habari za Madawa ya Kulevya?
Hii ndiyo Tz Bana Matatizo Kila Kukicha Haileweki Wapi Tuanze na wapi Tumalizie.Haijawahi tokea sembe kg1 sh.2000?
Hatari Hiyo
 
EEE! kwani kuna njaa? si huo unga upo.. acha wayaone kwa macho hiki ndio walichochagua 2015, na wakapewa nyongeza juu ya kutoa waziri mkuu.
 
Back
Top Bottom