Northern empire
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 358
- 459
Sio kweli ni watu wote ambao tunaishi hapa Kigoma mjini sijui kwa wilaya zingine na hili watu wote wanalalamika tanesco watu wamejaa wakilalamika hasahasa sisi ambao matumizi yetu ni ya chini tumepandishwa na kuwa sawa na wale ambao matumizi yao ni ya juu.matumizi yako makubwa luku yako imeshabadilika
Nipo Kigoma mkoani hapa. Yaan tafraan watu wamechafukwaaUpo Kigoma Mkoani Ama Kasulu, Buhingwe, Kakonko, Kibondo
Nakumbuka Huduma Unayoisema Ilikuwa Nzuri
Nikiwa Huko Huko Tulikuwa Tunanunua Mpaka Umeme Wa Buku
Nenda zanzibari 5000 unit 14!😅Elfu 2 unit 16.4 watu mna raha jamani huku kwetu elfu 2 tunapata unit 5
Vp Umekwenda Ofisini Kuuliza Ili Upate Jibu Sahihi
Hawana majib wanasema ndo utaratibu umebadilikaaVp Umekwenda Ofisini Kuuliza Ili Upate Jibu Sahihi
Kigoma Mkoani Pazuri Mtama
Hizo za znz ndio kama ninazopata mimiNenda zanzibari 5000 unit 14!
Shida Kubwa Yaani Unakuta Nao Hawana Majibu
Na mie nimeshangaaElfu 2 unit 16.4 watu mna raha jamani huku kwetu elfu 2 tunapata unit 5
Tena watanzania wenzetu hao etiNa mie nimeshangaa
Sawa kabisa,buku 5 unapewa unit 12Elfu 2 unit 16.4 watu mna raha jamani huku kwetu elfu 2 tunapata unit 5
Mkuu mbona Mimi nikinunua umeme wa elf9 napata unit 73 unit 16 kwa elf 2 ni sawa tu.Na mie nimeshangaa