Bei ya taa ya projector nec

Bei ya taa ya projector nec

Wadau samahan naomba kujua bei ya taa ya projector aina ya NEC.....

Miaka kama mitatu iliyopita, projector yangu aina ya toshiba iliungua bulb nilizunguka dar nzima bila mafanikio, wakawa wanasema hizo siwezi kuzipata hapa nchini!! Na kweli ilishindikana bahati nzuri kuna mtu alikuwa anatoka marekani nikamtumia specifications zake akaniletea ilikuwa kama tsh.400,000/.sasa cjui kama siku hizi zinapatikana hapa nchini jaribu kuulizia ila uanzie dar kama ukiikosa dar basi hazipo hapa tz.Na tatizo kubwa la projector ni bulb kwani zina masaa yake ya kutumika.yakiisha tu tafuta nyingine.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom