Bei ya sony experia x10

hii ni yakizamani mkuu?

ram yake 384mb ni ndogo sana, facebook mwenyewe haimtoshi.

kwa chini ya laki 3 sony unapata xperia E series simu kama sony xperia E3 na E4 ila i recomend E3 zaidi ina chip nzuri na ina 4g
 
Bei zipoje?
Kawaida tu..chakufanya nenda kupatana.com kisha search simu unayotaka utaona bei zake zina range vipi...utakuà familiar na bei za simu unazozitaka.
 
Kawaida tu..chakufanya nenda kupatana.com kisha search simu unayotaka utaona bei zake zina range vipi...utakuà familiar na bei za simu unazozitaka.
Sawa ngoja nifanye hivyo
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…