Bei ya sola nzuri

Bei ya sola nzuri

Parata

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Posts
3,090
Reaction score
693
Naomba kujua bei ya sola nzuri na aina ambayo inaweza;
kuwasha tv,kuchaji simu na friji.
 
Naomba kujua bei ya sola nzuri na aina ambayo inaweza;
kuwasha tv,kuchaji simu na friji.

mkuu solar zinauzwa kulingana na matumizi na huwa zimepangiwa mifumo yaani solar panel,betri,invertor na waya kulingana na matumizi yako,hapo kama unahitaji kununua compleate. mfano ktk matumizi yako utahitaji mfumo wa gharama kubwa hapa sitakwambia bei ngoja nikifika nyumbani kuna makaratasi yenye mifumo mbalimbali ambayo juzi nimeyapata ktk dealer wa sola hapa mwanza na bei nitaangalia nikupe maelezo zaidi.vuta subira mkuu
 
poa ukipata nijulishe,npo mugumu hapa
 
hapo utapaswa upate panel ya wats mia, inverter karibia wats 250 na betri kubwa. pia friji iwe ya sola. hizi za kawaida zinakula moto mkubwa sn. hapo atatumia full kasoro pasi tu
 
Tv, taa 6 na redio haizidi milioni moja na nusu niliwahi kununua kwa jamaa wanaitwa malcon solar energy maeneo ya gerezani miaka miwili iliyopita hadi leo sijabadili kitu inafanya kazi kama kawaida kijijini ila unapojumuisha na fridge hapo sijajua gharama yake
 
kwa wale mnaohitaji solar zimeshuka sana bei maana hazilipiwi ushuru.mfano solar niliyonunua 1200000 mwaka 2008 ambayo ni watts 150 sasa unaipata kwa tsh 375000 ingawa quality si kama ya zamani. yani cha msingi hapo unachukua watts unazohitaji unazidisha kwa 2500.mfano solar ya watts 100×2500=250000. tofauti na hapo usinunue utakuwa unaibiwa pesa yako
 
Back
Top Bottom