Mfuko mmoja wa CEMENT kutoka Tsh 12,500 mpaka kufikia Tsh 15,500 mpaka 16.000 kwa hali hii watanzania tutegemee maendeleo ya hali ya juu..........View attachment 847255
Sent using Jamii Forums mobile app pkease Change my Name to mkuu wa kaya
Swafiiii sana walahiMkuu hili jukwaa la wapenda chini, hiyo mada yako peleka kulee kwenye siasa au hoja mchanganyiko.
Cc Mod
Sent using Jamii Forums mobile app
Tutafika tu aiseeeheko magufuli
heko serikali ya awamu ya tano
hahahahaha wewe naye unauliza ninicement ni nini ?
Hapo hali ni ngumu au ni nzuri ili kuvutia wauzajiMfuko mmoja wa CEMENT kutoka Tsh 12,500 mpaka kufikia Tsh 15,500 mpaka 16.000 Adi 19,000 itategemea na eneo kwa hali hii watanzania tutegemee maendeleo ya hali ya juu..........View attachment 847255
Sent using Jamii Forums mobile app pkease Change my Name to mkuu wa kaya
Yes inategemea na Eneo uku Dar maeneo ya Temeke ni sh 16,000Mimi nilipo ni 19,500= usafiri bado,ukiisafirisha mpaka sehemu husika ni 22,000=
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah!bora aisee,maana wengine ujenzi ndo ilikuwa lazima usimame kwanzaBei imeshuka ndugu zangu kama Twiga Extra ni 13500 na Dangote design ya Twiga Plus ni 15,000 huku maeneo ya Bunju
Umelazimishwa kuishi Tanzania?Mfuko mmoja wa CEMENT kutoka Tsh 12,500 mpaka kufikia Tsh 15,500 mpaka 16.000 Adi 19,000 itategemea na eneo kwa hali hii watanzania tutegemee maendeleo ya hali ya juu..........View attachment 847255
Sent using Jamii Forums mobile app pkease Change my Name to mkuu wa kaya