S sayicom Member Joined Jul 2, 2011 Posts 66 Reaction score 1 Dec 21, 2012 #1 Habari wadau nilikuwa naulizia Bei ya simu hiyo hapo Ni TSH ngapi kwa maduka ya Jijini dar es salaam?
Habari wadau nilikuwa naulizia Bei ya simu hiyo hapo Ni TSH ngapi kwa maduka ya Jijini dar es salaam?
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,220 Reaction score 44,194 Dec 21, 2012 #2 ni kama laki 8, ila sio simu nzuri ina specification za mid smartphone sema hilo jina tu linaibeba
S sayicom Member Joined Jul 2, 2011 Posts 66 Reaction score 1 Dec 21, 2012 Thread starter #3 chief-mkwawa said: ni kama laki 8, ila sio simu nzuri ina specification za mid smartphone sema hilo jina tu linaibeba Click to expand... thanxx kaka mkubwa!!!!! Na vipi kuhusu Samsung Galaxy Mini?
chief-mkwawa said: ni kama laki 8, ila sio simu nzuri ina specification za mid smartphone sema hilo jina tu linaibeba Click to expand... thanxx kaka mkubwa!!!!! Na vipi kuhusu Samsung Galaxy Mini?
L Lazmas JF-Expert Member Joined Dec 20, 2010 Posts 561 Reaction score 111 Dec 22, 2012 #4 Kitu safi ni Nokia N9 au 808 pure view. Achana na Samsung.
danmarc JF-Expert Member Joined Feb 25, 2012 Posts 575 Reaction score 145 Dec 22, 2012 #5 Mkuu hzo nokia bei gani? Joshamto Last edited by a moderator: Jan 4, 2016