Bei ya Rubby kwa gram

jembelamkono

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
2,733
2,011
Habari wakuu?

Naomba kujua bei ya madini ghafi aina ya Rubby kwa gram moja kwa hapa Dar es Salaam, Rubby kutoka Kusini mwa Tanzania.
 
Habari wakuu?Naomba kujua bei ya madini ghafi aina ya Rubby kwa gramm moja kwa hapa Dar es salaam,
Rubby kutoka kusini mwa Tanzania.
Duh ni zaidi ya mln 60!
Hiyo ruby ni ya wapi ni ya morogoro au tanga au ya msumbiji....
Kingine dar hakuna wanunuzi wazuri wengi wao longolongo wanunuzi wazuri Wako tunduru
Lakini Kama kweli hiyo ni ruby natural......
 
Ni ya msumbiji mutupwesh mkuu.
 
Nami ndio najua sasa kuwa ruby iko juu kuliko tanzanite

Sent using Jamii Forums mobile app
Yapo mengi **** emarlad inapatikana sumbawanga kwa gram mil 12 ,sapphire ipo maeneo mengi kwa gram haipungui mil 10 ikiwa bomba , kuna alexandrite kwa gram haipungui mil 25 ,almasi kwa gram haipungui mil 15 ,kuna green garnet haipungui mil 30 kwa gram ,wakati tanzinite ni ngunu kuzidi mil 5 kwa gram labda iwe kubwa na nzuri sana .
NB Hapa naongelea yakiwa na high quality
 
Ahsante Sana kwa taarifa , almas niliziona huko Mbuyi Mayi RDC ,ila pia nilitahadharishwa sana juu ya almas kuwa feki zipo
Yapo mengi **** emarlad inapatikana sumbawanga kwa gram mil 12 ,sapphire ipo maeneo mengi kwa gram haipungui mil 10 ikiwa bomba , kuna alexandrite kwa gram haipungui mil 25 ,almasi kwa gram haipungui mil 15 ,kuna green garnet haipungui mil 30 kwa gram ,wakati tanzinite ni ngunu kuzidi mil 5 kwa gram labda iwe kubwa na nzuri sana .
NB Hapa naongelea yakiwa na high quality

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii Alexandrite inapatikana wapi Mkuu

Similar Discussions

Back
Top Bottom