Bei ya Printer Canon ir 2425i

Bei ya Printer Canon ir 2425i

mkaamweusi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2013
Posts
618
Reaction score
828
Hellow Guys

Nilikuwa nafanya utafiti kuhusu bei ya Photocopy machine aina ya canon ir 2425i

Nimebaini maduka ya wahindi mfano maisha,omni na masumini bei zao zipo juu kidogo ukilinganisha na Kariakoo mfano

Hiyo Mashine kwa wahindi hupati chini ya 3.5mil kwa upande wa kariakooo unapata hadi 3.2 mil

Kuna mtu niliongea nae akasema ukinunua kwa wahindi kule kitu kipya ni kipya kweli huwa havikuletei shida muda mfupi tu baada ya kununua

Lakini kwa kariakoo mashine ile ile,Mpya lakini unakuta ndani ya miezi sita unaita fundi,inasumbua kuna uwezekano baadhi ya vitu vinachezewa?

Utofauti huo wa bei unahusiana na ubora wa kifaa? Model ile ile?
 
Ni kweli wahindi wanakuwa na vitu genuine.Mimi nimedaka majuzi canon2425 kwa 2M.

Kikubwa wewe fika duka I uicheki.kuna jamaa anaitwa mambosasatz insta mcheki niliona kapost 2425i kwa bei nzuri.wapo magomeni
 
Screenshot_20220123-091331.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom