bei ya pikipiki

bei ya pikipiki

bestest

Member
Joined
Mar 8, 2013
Posts
67
Reaction score
9
naomba kujuzwa kama kuna mtu ana taarifa juu ya bei ya pikipiki mpya na kukata vibali vyote jumla ni shilingi ngapi anijuze tafadhali.
 
Inategemea na aina ya pkpk mkuu kama hivi za mchina kwa bodaboda ukiwa na 1.7mill unapata FEKON full

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom